Hili gazeti la Jamhuri linamilikiwa na nani?

Waandishi wa habari wazalendo Manyerere Jackton na Deo Balile. Ni Watanzania wenzetu na lengo lao kubwa ni kutumia kalamu kulikomboa taifa. Wamepiga sana kelele za ufisadi wa makontena na kwenye mbuga za wanyama Kikwete hakuwahi kuwasikiliza na kwa kuwa sisi Watanzania wengine ni mbumbumbu ile kazi yao, kujitoa muhanga na bidii ilipotea bure. Kazi yao ya sasa ni kipimo kama Magufuli anayo dhamira ya dhati kupambana na ufisadi

Hopefully kupitia hao jamaa tutahabarishwa kuhusu ufisadi mbalimbali alizopiga Kikwete kama vile bomba la gesi toka Mtwara, kampuni yake ya Halotel na kupeleka jeshi Kongo kusaidia biashara yake ya dhahabu na mbao ambayo Riziwani na Joseph Kabila ni ma CEO. Ahsante JAMHURI

😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱 bwana weweeee
 
Last edited by a moderator:

duuuuh!!!!
 
Last edited by a moderator:
 bwana weweeee

Unashangaa, hii nchi ishauzwa. Magufuli anaogopa hata kudai uenyekiti wa chama maana anajua kabisa kuwa remote iko Msoga inacontrol kila kinachotokea Ikulu. Hivi unadhani waziri wa sheria na katiba Mwakyembe ataweza kukaa na wanasheria wa serikali kutengeneza kesi dhidi ya mafisadi papa wakati yeye ni fisadi nyangumi??
 
ebanaa katika pitapita zangu nikaona kichwa cha habari kwenye gazeti la jamhuri, eti kikwete alivyoiumiza nchi,wakatoa na picha yupo jamaica na mke wake wanabembea, alafu wakaandika kwa chini kikwete katika ubora wake, je linamilikiwa na nani?

Linamilikiwa na mimi Bado Mmoja
 
ebanaa katika pitapita zangu nikaona kichwa cha habari kwenye gazeti la jamhuri, eti kikwete alivyoiumiza nchi,wakatoa na picha yupo jamaica na mke wake wanabembea, alafu wakaandika kwa chini kikwete katika ubora wake, je linamilikiwa na nani?

Unanikumbusha kutafuta mchawi mtu anapougua au fariki: nani kamroga huyu?
 
Simjui mmiliki honestly...
Lakini pale najua kuna Manyerere Jackton na Deudatus Balile ambao wamempigia kelele siku nyingi sana MSOGA kuhusu ubadhilifu na ufisadi mbalimbali uliofanywa kwenye sekta mbalimbali haswa madini na maliasili na utalii, na kwasababu MSOGA alishasema kelele zetu haziwezi kumfanya akakosa usingizi, hakusikiliza wala kufanyia kazi hata jambo moja aliloambiwa....zaidi ni kuwalinda akina Nyalandu na majizi mengine.
Sasa atakosa usingizi tu kudaddaaaadddeeki zake...kwa gazeti la JAMHURI kufukunyua fukunyua madudu yote.
Big Up sana gazeti la JAMHURI.
 
Hii nchi madudu ni mengi sana bila kuwa na watu makini kama hawa wahariri wa Jamhuri na wengineo wengi mambo haya yasingefahamika,tuwapongeze kwa kazi nzuri wanayoifanya ili waendelee kutupa habari zaidi za uhakika.
 
Back
Top Bottom