Hili Gari tukio lake unalikumbuka?

Hili Gari tukio lake unalikumbuka?

Kwani ndio hili lilikua linaelekea kusini muda fulani mwaka jana ?? Limetengenezwa hivi ??
 
kipindi hicho nilikiwa na miaka 8 kwahyo sikumbuki vizur
 
Mbona siwaelewi naona kila mtu anabashiri majibu nusunusu na mafumbo kibao, kama hamtaki kusema kaeni kimya.. sasa vyanzo vya maji vimefanyaje au mnafikiri tuko kwenye mawazo yenu.. aalaaaaa..!!!!
 
Back
Top Bottom