Hili gari litatoka kwa mlango gate a au b au c au d?

Hili gari litatoka kwa mlango gate a au b au c au d?

haliwezi kutoka gari ni kubwa kuliko hizo njia, labda kwa winchi.
 
Huu mchezo ni rahisi sana,njia unatakiwa uanze kuitafuta kwa kuanzia kwenye herufi kwenda kwenye gari ndio utajua haraka kuwa gari itatokea geti gani....michezo ya darasa la pili hii..
Kaam ni mchezo wa Darasa la pili jibu basi mkuu.@"LUBEDE
 
Back
Top Bottom