Hili game: Hivi ni nani Starring?

haya tuma hela yangu haraka nishamjibu Kiranga, na kanipa tiki kwa sababu nimepata majibu yote

Hahaha at "kanipa tiki".

Kama profesa nasahihisha hapo ungepewa "not even wrong".
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi anayesemaga Poh ni mwanamke, mwanamke ni kutokana na maumbile yake ndo masks inakuwa hivo.
Na ndio maana mwanamke hata kama hana hamu(chini kukavu) kunaingilika tu, lakini mwanamme kama hana hamu hakuna unachoweza fanya, mfano kwenye kubaka/kubakwa, mwanamke ni rahisi lakini mwanamme hawezi kubaka kwa kulazimisha. N.a. ukiona ameweza jua anajuana na hao walazimishi
 
Hahaha at "kanipa tiki".

Kama profesa nasahihisha hapo ungepewa "not even wrong".
Halafu wewe, leta posa basiii, mbona wauweka usiku weye, sasa waja lini huku Visiwani?
 

Hii ni kufuru, nenda kwenye imani yako katubu na utowe sadaka, yani Mungu wako ni mwehu aliposema mwanaume ni kichwa? I can't believe this.
 
Halafu wewe, leta posa basiii, mbona wauweka usiku weye, sasa waja lini huku Visiwani?

Wewe nimesikia kuchikichia posa ndo mtindo wako, unawapanga, unakula posa, halafu huonekani.

Yule muarabu mwenye visima vya mafuta Muscat ushamrudishia posa yake kwanza?

Mimi nishaamua kuwa mtawa, nafuata nyayo za Yesu.
 
Wewe nimesikia kuchikichia posa ndo mtindo wako, unawapanga, unakula posa, halafu huonekani.

Yule muarabu mwenye visima vya mafuta Muscat ushamrudishia posa yake kwanza?

Mimi nishaamua kuwa mtawa, nafuata nyayo za Yesu.
Yesu ni Mungu, wewe ni Mungu?
 
Yesu ni Mungu, wewe ni Mungu?

Nafuata nyayo son, as in Yesu hakuoa na mimi sioi. Sometime I have to cite a known figure, it's not like everybody would be familiar with Osiris or Imhotep. I have been accused of being cryptic and indecipherable.

Story yenyewe ndefu, Zinduna dili lake kuwaotea watu wapeleke posa halafu anatokomea, anatafuta mjuba mwingine anampiga hivyo hivyo.

Sasa mie bado kidogo aniweke sawa, ila katika kumuweka katika ma database nikaona kuna waarabu kibao kawapanga.

I dodged the bullet
I googled the fullest
I ogled the coolest schule
I fangled the purest
Analysis surest

Ndiyo maana unaona ananikumbushia.habari za posa na mimi namwambia nishaamua kuwa mtawa in that context.

Lakini hata ukitaka niende kwenye kujenga hoja kwamba mimi ni mungu inawezekana pia.

Hata wewe ni mungu pia.

Ila kuna wengine hawajatambua uungu wao.

Of course it all rests on your definition of "mungu".

Peace to the gods, Wu-Tang.

May all beings attain enlightenment.
 
Na wale wanaosagana nani anakuwa starring? Nijibu kwanza hili.
 
Wote wanapaswa kuwa mastar...mdogo wangu Zinduna ukikuwa utalijua hili
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahahah.nimeongeza siku ya kuishi.kumbe ndo inakuwaga hvyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…