Leo wanaume wote watageuka waalimu wa baiolojia haki ya MunguUnatakiwa ujue kuwa mwanaume akimaliza kupiga game nikama amesukuma gari lenye uzito wa ton 2 kutokana na Calories anzo burn Hivyo usione ule uji unatoka ukadhani unatoka karibu najiulize unatengenezwa baada ya siku ngapi nazaidi ukifanya kuzidisha zaidi unakojoa damu!!Hupo my Zinduna??
hsante FaizaFoxy, si unajua siye Wazenjibari hayo mambo ya kiingereza wanayajua wenyewe waingereza, ningependa kutumia neno mshika sukani kama tusemavyo huku Visiwani lakini watu wa huko Bara wala wasingenielewa wallahiZinduna, waombe mods wabadilishe neno "sterling" (jina la pesa za Kiingereza au mengine) ambalo nnauhakika haiwezi kuwa ndiyo maana uliyoikusudua kwenye mada, na liwe amma steering (anaeshika usukani) au starring (nyota wa mchezo). Na humo kwenye mada ufanye ka editing kubadili "sterling" na kuweka neno sahihi.
Umeambiwa urekebishe maneno ukweli ndo huo unachotaka kujua uji unakotoka au unavyotengenezwa?Leo wanaume wote watageuka waalimu wa baiolojia haki ya Mungu
hebu malizia basi ili somo litimie ule uji unatengenezwa na nini vile?
Acha uongo, wanaume wenzako wote wamekubali maudhaifu yao weye tu waleta za kuletaHuwezi mpata steling kwa kulinganisha hivyo maana mmoja anafika kwa kutoa mbegu mwingine kwa kutoa maji ya mwili.Hivyo tafuta vigezo vingine sio hicho labda ingekuwa na maana kama mwanamke akifika kileleni anatoa yai la uzazi,
Hivi Zinduna hapo bazazi ni nani?
haalfu ukitaka kujua starring ni nani, hebu njoo nikuonyeshe kwa vitendo. Udereva wa gari haufundishwi tu darasani kuna na muda wa kufanya mazoezi, ndiposa unaweza kusema umefuzu
Labda nijibu kwa kuuliza swali. Bi Zinduna ni kwanini takwimu nyingi zinaonesha wahanga wakubwa wa ubakwaji ni wanawake tofauti na jinsia ya pili?
Hutanijibu lakini lemme tell you, maumbile ya mwanamke na mwanamume ni tofauti kama ujuavyo, ni rahisi sana mwanamke kulazimishwa kufanya tendo pendwa bila hata ridhaa yake ama kufanya tu kumridhisha opponent wake hata kama hajisikii wakati mwanaume ni tofauti kwamba kama dushelele likileta ugoi goi hakuna mtanange hapo unless futher notes. Kwa sababu hiyo inawezekana kwenye haya mambo hakuna bingwa ila mwenye jinsia ya kike anatumia advantage ya maumbile kuonesha bado yuko fit ilihali kusuuzika kwa nafsi in proportionally na anayesubiri kuutia kasi!
Hapa nimezungumzia wapenzi wanaopendana kwa dhani na wanapotaka kulifanya tendo kwa burudani, sijazungumzia kubakwa. sasa kama mwanaume kamaliza na mwanamke bado anataka game lichezeke na mwanaume ni kwanza anageukia ukutani nani sterring hapo?