HILI DARAJA NI HATARI

Ahahahaha, niliwahi kupita kwenye daraja la hivyo maeneo ya Mgeta vijijini, chini maji ni ya baridi sana huwezi kuyagusa so ni lazima upitie darajani tu sasa maana hakuna namna!
 
mwenyewe hata sipasomi
 
Mmmh ss tusio na balance mbona itabidi kujifunza kuogelea
 
Ahahahaha, niliwahi kupita kwenye daraja la hivyo maeneo ya Mgeta vijijini, chini maji ni ya baridi sana huwezi kuyagusa so ni lazima upitie darajani tu sasa maana hakuna namna!
Kwani kuna Mgeta mjini!
 
hapo kama umekatia, zikakukolea kidogo badilisha tu njia
Kuna mlevi kabla ya kwenda kwake anavuka daraja kama hilo basi akilewa anayumba vibaya sana ila akifika hapo darajani anasimama kwanza dakika kama mbili hivi halafu anavuka vizuri ila akimaliza tu daraja anaanza kuyumba tena!
 
duh!! hahaaa
nasikia mlevi anakua na malaika wake hivi
 
Kwa mlio Dar tuelezeeni!! Daraja la Kigamboni linafanana na hilo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…