HILI DARAJA NI HATARI

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
1457327120782.jpg
 
Ahahahaha, niliwahi kupita kwenye daraja la hivyo maeneo ya Mgeta vijijini, chini maji ni ya baridi sana huwezi kuyagusa so ni lazima upitie darajani tu sasa maana hakuna namna!
 
hapo kama umekatia, zikakukolea kidogo badilisha tu njia
Kuna mlevi kabla ya kwenda kwake anavuka daraja kama hilo basi akilewa anayumba vibaya sana ila akifika hapo darajani anasimama kwanza dakika kama mbili hivi halafu anavuka vizuri ila akimaliza tu daraja anaanza kuyumba tena!
 
duh!! hahaaa
nasikia mlevi anakua na malaika wake hivi
 
Back
Top Bottom