Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,956
- 3,331
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Duh we mwanamke hizi kauli mbona kali kiasi hiki.....
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
yaani michango yako wewe bibi kizee ....ungekuwa Magu wewe tungekuwa tumeshakunaninhiiiWewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Imenilazimu kupita kilosa baada ya kukaa kwenye foleni kwa muda wa masaa mawili, serikali yetu hii sijui inatupeleka wapi sasa.
Hiyo ndiyo mipango ya alinacha ya CCM. Badala ya kwanza kujenga daraja ambalo kwa vyovyote ni gharama ndogo sasa wanasema watajenga Bwawa; haihitajiki PhD kufahamu mchakato wa kujenga Bwawa si wa kutekelezeka kwa muda mfupi, say mwaka mmoja. Wana akili kweli hawa?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muslim wa siasa Kali wao kutumia akili ni dhambi ya mauti
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Hivi we ni mwanamke kweli? Kama ni kweli basi hormones za kiume ni nyingi kwako kuliko za kike. Ktk hali ya kawaida majibu km haya hayategemewi kutoka kwa mwanamke!
Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.
Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.
Yaelekea FaizaFoxy ni mmoja wa mafisadi na wahujumu wakubwa wa uchumi na ustawi wa nchi hii. Bado sijaelewa sababu ya kuingilia kila hoja inayokosoa utendaji mbovu hata unapokuwa wazi kama ilivyo katika mtungo huu.
Kujitapa eti hata house girl wake ana gari kunadokeza ni mnufaikaji wa mfumo wa kinyang'au ulioko sasa wa hujuma, wizi na uhaini dhidi ya taifa.
Sent from my iPhone using JamiiForums