Hili daraja la Dumila hili!

Hili daraja la Dumila hili!

Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.

Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.

Yaani siku yakifanyika mashindano ya watu wapumbavu na wapuuzi hapa duniani lazima uchukue kombe.Kwa hivyo kuiba pesa za umma na kununua magari mazuri ndo fursa hiyo?
 
Yaani siku yakifanyika mashindano ya watu wapumbavu na wapuuzi hapa duniani lazima uchukue kombe.Kwa hivyo kuiba pesa za umma na kununua magari mazuri ndo fursa hiyo?

Wewe unaongelea kuiba pesa za umma, vipi hapo Mbowe hayumo? aliyewauzia Mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya, na usisahau, hizo ni pesa za walipa kodi.

Vipi Slaa anapojikopesha mamilioni kujenga jumba la kifahari Dar, ambapo siyo kwao, kwa sababu tu ya kupora mke wa mtu na kuzaa nae na lazima amjengee.

Kumkodishia hausigeli wa hawara vyumba vya 5 star hotel kwa pesa za walipa kodi. Hiyo kwako ni sawa?

Mwizi ni mwizi tu awe serikalini au nje ya serikali.
 
Kumkodihia hausigeli wa hawara vyumba vya 5 star hotel kwa pesa za walipa kodi. Hiyo kwako ni sawa?

Mwizi ni mwizi tu awe serikalini au nje ya serikali.

Kwako Mbowe na Slaa ni kama hewa usipowataja unakosa pumzi?
 
Wewe unaongelea kuiba pesa za umma, vipi hapo Mbowe hayumo? aliyewauzia Mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya, na usisahau, hizo ni pesa za walipa kodi.

Vipi Slaa anapojikopesha mamilioni kujenga jumba la kifahari Dar, ambapo siyo kwao, kwa sababu tu ya kupora mke wa mtu na kuzaa nae na lazima amjengee.

Kumkodishia hausigeli wa hawara vyumba vya 5 star hotel kwa pesa za walipa kodi. Hiyo kwako ni sawa?

Mwizi ni mwizi tu awe serikalini au nje ya serikali.
Mama Faiza Fox sio kila kitu ni issue ya Mbowe na Slaa....mengine ni mambo ya utaifa zaidi na maadili kuliko vyama
 
Kuna watu humu hawana akili kabisa hata mafuriko wanataka kuilaumu serikali, nendeni basi mkayazuwie kama serikali imeshindwa. Kuna mtu aliwazuia kuyazuwia?

Hizo ni akili za gongo kama za Slaa.
 
huyu anaweza kuwa ndio serikali,maana huwa nasoma comment zako nashindwa kupata majibu.nitakutafuta hata PM unisaidie jambo langu
 
Yaani siku yakifanyika mashindano ya watu wapumbavu na wapuuzi hapa duniani lazima uchukue kombe.Kwa hivyo kuiba pesa za umma na kununua magari mazuri ndo fursa hiyo?

Inabidi serikali iangalie hii sehemu ya muhimu kwa jicho pana zaidi,hii ni pamoja na kuboresha hili daraja mana nimepita hapo muda si mrefu mto umejaa balaa maji yameanza kupanda hadi darajani,na mvua bado zinaendelea kunyesha.ikiendelea hivi kwa siku mfululizo laweza kusombwa kwa mara nyingine.So nadhani serikali ingejipanga kwa hili.

Nikweli kipande hicho ni sehemu korofi na kwakweli ni mtihani sana kwa hata serikali yenyewe kwani mkondo wa maji ni mkubwa sana
 
Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.

Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.

Wewe ni kopo kweli, mimi nilidhani utasema ndege! Unaambiwa barabara ni mbovu!, unaleta porojo zako za fursa.sasa hata hiyo gari akiwa nayo ataipitisha wapi wakati daraja ni barabara umeambiwa imeharibiwa na mvua!
 
huyu anaweza kuwa ndio serikali,maana huwa nasoma comment zako nashindwa kupata majibu.nitakutafuta hata PM unisaidie jambo langu

Hajitambui tu, pia nafikiri hata elimu yake itakuwa ni shida kidogo kwni hakuna kitu anapost kikawa na logic, mbona kuna watu wanatetea serikali kina Simiyu, wanaandika vitu vya kueleweka!
 
Hivi mnaijua mvua ama mnaongea tu? c wote wenye magari na nyumba nzuri wamevipata kwa njia icyo halali. Unapo dzn kituj kuna mambo mengi huangaliwa. Mf. Jografia ya eneo husika, uwezo wa daraja lenyewe kupitisha maji na kuhimili kubeba uzito gani.ila kuna muda hutokea mvua hunyesha kupita kiac na hubeba matakataka yanatokana na shughuli za mwanaadamu na mengineyo.hivyo hivyo huziba mdomo wa daraja/karavati na kusababisha maji kupita juu. Ama maji yanapokuwa mengi kuzidi uwezo wa daraja. Hebu fikiria maji yanabea kichwa cha tren chenye uzto tan 80 uone jinsi mjji yalivyo na nguvu ndio maana hata wahenga wakasema yapitayo kasi yaache yapite kisha utavuka salama.
 
....dah mkuu kwani hujui utaratibu wa serikali sikivu kuhusu ujenzi wa madaraja. Kwa sasa kwakuwa uchaguzi upo mbali basi ni mpaka ajali kubwa itokee,waziri mkuu/rais n.k waende,kisha iundwe tume ili tupape pa kula,then tuitishe mkandarasi atakayekubali kupitisha bajeti ambayo nusu itakuwa hela yetu au kampuni yetu ndo tuipitishe kama jamaa watazingua suala la uwezo halituhusu kwani kazi ya babayako.? Njia ya pili ni mpaka uchaguzi ufike ndo tunatoa ahadi halafu hatujengi mpaka uchaguzi unaofuata,wakipiga kelele tunapeleka mchanga mambo kwishney. Hivi ndivyo serikali sikivu tunavyofanyakazi,je mmetimiza masharti haya....
 
Kuna watu humu hawana akili kabisa hata mafuriko wanataka kuilaumu serikali, nendeni basi mkayazuwie kama serikali imeshindwa. Kuna mtu aliwazuia kuyazuwia?

Hizo ni akili za gongo kama za Slaa.
sijui kama umeelewa vizuri kweli.naona uliyoandka nitofauti na alieleta mada.
 
Wewe ni kopo kweli, mimi nilidhani utasema ndege! Unaambiwa barabara ni mbovu!, unaleta porojo zako za fursa.sasa hata hiyo gari akiwa nayo ataipitisha wapi wakati daraja ni barabara umeambiwa imeharibiwa na mvua!

Sasa umeshasema limeharibiwa na mvua, uliambiwa halitengenezwi? wewe punguani kwelikweli.
 
sijui kama umeelewa vizuri kweli.naona uliyoandka nitofauti na alieleta mada.

Soma posts zote ujionee, wewe unafikiri kila kitu humu kimo kwenye post ya mleta mada tu?
 
Jamani huyu faiza sio wa kujibizana nae tusome tu alichoandika alafu tumpotezee
 
nikweli serikali iaangalie,ila sometimes huenda watu wanaziba mfereji kwa kutupa taka sasa hii inatuhusu sisi raia
 
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Mtumeeeeeeeeeeeeeeee
huyu dikembe atakuwa mwanamke mpaka anyonywe?
hili Daraja litatuletea ma mimba maana lazima Magufuli azalishe lingine la tatu maana huko Dodoma mvua ni kiboko iliyonyesha siku 3 mfululizo Munkari naombea uwe na unakuja Dodoma na Daraja livunjike kabisa ili kurudi huko USAHAU
msalimie ulie kaa siti moja (bench) na siti # kufuatana ) naye maana wote ni JF Member
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom