FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Jamani huyu faiza sio wa kujibizana nae tusome tu alichoandika alafu tumpotezee
Ukiandika kitu utoe na majibu wewe mwenyewe.
Jamani huyu faiza sio wa kujibizana nae tusome tu alichoandika alafu tumpotezee
Nakushauri rudi shule ukaongeze kitabu
Ahsante kwa ushauri mwema kabisa. Jee, wewe umemaliza shule?
Nikweli kipande hicho ni sehemu korofi na kwakweli ni mtihani sana kwa hata serikali yenyewe kwani mkondo wa maji ni mkubwa sana
Jamani huyu faiza sio wa kujibizana nae tusome tu alichoandika alafu tumpotezee
Unamaana hamna jinsi ya kupadhibiti? Please come on
Kuna watu humu hawana akili kabisa hata mafuriko wanataka kuilaumu serikali, nendeni basi mkayazuwie kama serikali imeshindwa. Kuna mtu aliwazuia kuyazuwia?
Hizo ni akili za gongo kama za Slaa.
Mimi siyo mtu wa kujisifu ndani ya social network
nakushauri nawe pia uendelee kusoma. Unaonesha una matatizo ya uelewa.
Sabay, pale ni kuwa pamepanuka sehemu zote na kuna hatari kama mvua itaendelea kunyesha basi daraja linaweza kuzolewa kabisa kwani maji yanatoka maeneo ya kilosa
Mkuu Waziri Maghembe last week ametoa solution ya hii kitu na kama kweli itaifanyia kazi hutasikia tena hayo mambo hapo Darajani Plan ni kujenga bwawa somewhere ili kuweza kuyacontain hayo maji na kuyatumia kwa shughuli nyingine badala ya kuyaacha tu yatiririke yanavyojitakia wana plan kujenga bwawa kwenye huo mto kukusanya maji wakati wa mvua kuzuia mafuriko na kuyatumia kwa matumizi mengineyo
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Mkuu Waziri Maghembe last week ametoa solution ya hii kitu na kama kweli itaifanyia kazi hutasikia tena hayo mambo hapo Darajani Plan ni kujenga bwawa somewhere ili kuweza kuyacontain hayo maji na kuyatumia kwa shughuli nyingine badala ya kuyaacha tu yatiririke yanavyojitakia wana plan kujenga bwawa kwenye huo mto kukusanya maji wakati wa mvua kuzuia mafuriko na kuyatumia kwa matumizi mengineyo
Ni plan mzuri sana na inawezekani kwani hayo maji huwa yanatokea kule juu mlimani.Kama waziri atalisimamia hilo basi hilo tatizo litabaki historia
Mtumeeeeeeeeeeeeeeee
huyu dikembe atakuwa mwanamke mpaka anyonywe?
hili Daraja litatuletea ma mimba maana lazima Magufuli azalishe lingine la tatu maana huko Dodoma mvua ni kiboko iliyonyesha siku 3 mfululizo Munkari naombea uwe na unakuja Dodoma na Daraja livunjike kabisa ili kurudi huko USAHAU
msalimie ulie kaa siti moja (bench) na siti # kufuatana ) naye maana wote ni JF Member
Inabidi serikali iangalie hii sehemu ya muhimu kwa jicho pana zaidi,hii ni pamoja na kuboresha hili daraja mana nimepita hapo muda si mrefu mto umejaa balaa maji yameanza kupanda hadi darajani,na mvua bado zinaendelea kunyesha.ikiendelea hivi kwa siku mfululizo laweza kusombwa kwa mara nyingine.So nadhani serikali ingejipanga kwa hili.