Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,953
- 2,431
Inaenda ndio ila ikirudi service mlima, wakati cruiser ikirudi ni carwash tuu umemalizainaenda boss zinafanyiwaga test jagwani na zinatembea sembuse shamba
Inaenda ndio ila ikirudi service mlima, wakati cruiser ikirudi ni carwash tuu umemalizainaenda boss zinafanyiwaga test jagwani na zinatembea sembuse shamba
Yes....wanasema sku mojamoja unauchimba mkwara umaskini...
si kwel maneno ya mtaani hayo. gharama ya gari ji pamoja na vifaa ilivyonavyo.Inaenda ndio ila ikirudi service mlima, wakati cruiser ikirudi ni carwash tuu umemaliza
hii samba ipo poa pia. lakin model yek muonekano mbaya chukua fortuner mnyamamkuu watu wanataka kilimo kwanza View attachment 1609028
google uioneEmbu nipe picha ya hiyo
fortuner
Ni bei gani hiyo gari ya Diamond iliyobadilishwa rangi na vp sifa zake?Ndo hyo hyo ilibadilishwa rangi tu
Fortuner ni hilux pickup iliyofunikwa nyuma ile kama hujaifahamu vzr.hii samba ipo poa pia. lakin model yek muonekano mbaya chukua fortuner mnyama
ingia hapa Used 2014 BMW X6 X DRIVE 35I/DBA-FG35 for Sale BH393666 - BE FORWARDNi bei gani hiyo gari ya Diamond iliyobadilishwa rangi na vp sifa zake?
hapo sipingi maana muwonekano wake ni kama ivo. toyotahilux yenyewe zinazid kuwa modernized kuwa mashine haswaFortuner ni hilux pickup iliyofunikwa nyuma ile kama hujaifahamu vzr.
Mkuu kuna siri kubwa sana kwa hawa wasanii ,ukijua hautoumiza kichwa hata ukimkuta Domo ana Hummer H2 kama la 50 cent au Benz la mil 600 kama la bakharesa!!!!! Kwanza ile X5 nyeusi kashamaliza deni?
ondoa shakafrom Google: hii inaenda shamba kweli?View attachment 1610751
Kabisa wasanii ni mabingwa wa kuigiza ila wakishang'ata shuka ndio kila kitu kinajulikana wazi,,,,,nani alikuwa anajua kwamba kanumba alikuwa hana hata kiwanja?Hajui kwamba ile nyumba anayokaa kule mbezi si yake kapanga. Wasanii ni wazuri wa kuigiza maisha...
Fafanua mkuu.help of 666 and its activity
Kwani unampango wa kuifungia jembe ilime mkuu?from Google: hii inaenda shamba kweli?View attachment 1610751
Dah😂😂Mkuu kuna siri kubwa sana kwa hawa wasanii ,ukijua hautoumiza kichwa hata ukimkuta Domo ana Hummer H2 kama la 50 cent au Benz la mil 600 kama la bakharesa!!!!! Kwanza ile X5 nyeusi kashamaliza deni?
Usishawishike ukanunua hili famba na pacha wake hilux ukategemea utachomoka kwenye tope haswa ambapo atapita Lc,rovers na wakina nissan patrol model za 90s.from Google: hii inaenda shamba kweli?View attachment 1610751