Hili chuma hadi kukamilika kuwa road niandae bajet kiasi gani

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,974
2,000
habari wadau?

Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017

Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na cent zake iliwakutumia hii gari je hapa kwetu Tanzania hawajamaa Kodi inaweza kukadiliwa kiasi gani?Update karibu tena kwenye huu uzi
View attachment 1629102
 
Attachments

  • Screenshot_20201018-102743.jpg
    File size
    43.6 KB
    Views
    0

Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,469
2,000
Hiyo 109 hapo ni pamoja na kodi au bado hujalipa kodi?. Maana kwa Tz kodi ndio ununuzi wa gari lenyewe,achilia mbali ununuzi wa gari Japan na usafirishaji wake. Hizi gari zozote kwa wamalawi na zambia ni kama kuokota tu. Kodi iko chini kabisa,jiulize hapo hawana bandari. Sisi wenye bandari ni kama wakimbizi ndani ya nchi yetu kwa kodi za ajabu
 
hapo bila Kodi hiyo C&F hadi bongo 109 ML
 
MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,239
2,000
habari wadau?

Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017

Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na cent zake iliwakutumia hii gari je hapa kwetu Tanzania hawajamaa Kodi inaweza kukadiliwa kiasi gani? View attachment 1603807
TRA wana equation yao inakupa mahesabu yote mpk unishika mkononi, ingia kwenye website yao
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,285
2,000
habari wadau?

Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017

Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na cent zake iliwakutumia hii gari je hapa kwetu Tanzania hawajamaa Kodi inaweza kukadiliwa kiasi gani? View attachment 1603807Reference Number:20211096671
Make:TOYOTA
Model:LANDCRUISER SERIES 200 / 201 / 202 GX / STANDARD
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2017
Country:JAPAN
Fuel Type:DIESEL
Engine Capacity:2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD):48,404.50
Import Duty (USD):12,101.13
Excise Duty (USD):6,050.56
Excise Duty due to Age (USD):0.00
VAT (USD): 12,205.96
Custom Processing Fee (USD):290.43
Railway Dev Levy (USD):726.07
Total Import Taxes (USD): 31,374.14
Total Import Taxes (TSHS): 72,444,770.21
Vehicle Registration Fee (TSHS):550,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 72,994,770.21
 
Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,469
2,000
Reference Number:20211096671

Tatizo hawaelewekagi mkuu,unaweza ukafuata huo mtiririko na ukajikusanya kwamba ndinga ikifika nafunga kipindi,lakini unaweza ukakutana na vitu tofauti kabisa. Vinginevyo namshauri huyu anaetaka kuvuta huyu mnyama afunge kipindi chote na hao beforwad,yeye ni kudokoa ndinga tu na kuitia mkononi
 
TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,974
2,000
Reference Number:20211096671
Make:TOYOTA
Model:LANDCRUISER SERIES 200 / 201 / 202 GX / STANDARD
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2017
Country:JAPAN
Fuel Type:DIESEL
Engine Capacity:2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD):48,404.50
Import Duty (USD):12,101.13
Excise Duty (USD):6,050.56
Excise Duty due to Age (USD):0.00
VAT (USD): 12,205.96
Custom Processing Fee (USD):290.43
Railway Dev Levy (USD):726.07
Total Import Taxes (USD): 31,374.14
Total Import Taxes (TSHS): 72,444,770.21
Vehicle Registration Fee (TSHS):550,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 72,994,770.21
duh aisee bwana weee yani Kodi wanachukua almost 73 Milion atuwezi kutoboa kwa utawala huu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom