Hili chuma hadi kukamilika kuwa road niandae bajet kiasi gani

hapo sipingi maana muwonekano wake ni kama ivo. toyotahilux yenyewe zinazid kuwa modernized kuwa mashine haswa
from Google: hii inaenda shamba kweli?
which-variant-fortuner-5db2a4e69d61d.jpg
 
Kabisa wasanii ni mabingwa wa kuigiza ila wakishang'ata shuka ndio kila kitu kinajulikana wazi,,,,,nani alikuwa anajua kwamba kanumba alikuwa hana hata kiwanja?
aisee tena kaacha familia kwenye madeni makubwa na bank
 
from Google: hii inaenda shamba kweli?View attachment 1610751
Usishawishike ukanunua hili famba na pacha wake hilux ukategemea utachomoka kwenye tope haswa ambapo atapita Lc,rovers na wakina nissan patrol model za 90s.

Hamna kitu hapa linapokuja swala la 4wd ya maana.nimeyashudia sana na kuyaendesha porini full kukwama tu utadhani waliziwekea 4wd za urembo vile!
 
Back
Top Bottom