hili bunge limekuwa sharoo uharoo

kichomeo

Member
Feb 9, 2011
8
0
yaani kila nikiamka siwaoni african dreams naona makamasi tu.kila kanakoingia katoto ka mkulima,bwana lusinde hilo sio eneo la kutafutia umaarufu,wenzio wenyeviherehere kama wewe wamekuwa toto vjiwe stick........
 
Inakatisha sana tamaa. Usoni ni watu lakini rohoni wameshika kutu, tena kutu ya kumomonyoka kabisa. Siwaelewi, hawaungani katika mambo yanayotuunganisha. Chadema walipokataa kuungana na kila mtu sikuelewa ila sasa naelewa, kumbe hakuna chema kitakachotoka kati ya watu hawa. Roho zao zimekufa kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom