Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Mkuu wajingawatu Kila aulizae ataka kujuwa umeshindwa ndio maana unasema swali la utata bora ungelikaa kimya ingelikuw ni bora zadi kuliko kujibu swali la utata.Umuhimu wa maswali mengine ,utata
>
?
Mkuu Ndibalema Nataka kufanya maandamano ya hilo neno la kitomoto nikalivunje vunje ndio ninauliza lipo wapi hili banda la kitomoto?Mkuu MziziMkavu siku hizi 'unagonga' mdudu?
Kigogo sambusa hiyo a.k.a kwa maguruwe, hapo kimedoda baada ya Bomoabomoa kupisha ujenzi, sasa hivi huyo mwenye banda pia ana Baa Nduliwa na anakalia Kigogo
Mkuu TIQO umekosea halipo Tegeta.