Hiki ni Kitonga ndani ya Dar

Kibamba na kiluvya kuna coverage?
 
wapo toka kitambo lakini maeneo machache

Kuna watu hapa Tz wanafaidi unlimited interent kkwa bei nafuu tangu miaka ya 2000, mitaa waayoishi kuna cable internet za uhakika za ttcl, raha, zuku, liquid, n.k.
 
Ushuani huku kibada mbona hamna
 
Nadhani kuna haja ya hawa watoa huduma sasa wakafanya uwekezaji nje ya range waliyonayo sasa.
 
Hao wana operate small area sio Dar yote.

Watu wa Sinza, Kinondoni, Masaki, Mbezi nk ndio wamefikiwa na hizo huduma.

Lakini nje na hapo hizo huduma hazifiki
Hao wanafunga majengo, wapo Africa nzima, mimi nilipo ni jirani kabisa na Jengo lenye Fiber ya raha wamekataa kunifungia, wanafunga Kwenye Maghorofa marefu yenye apartment NYINGI, hotel kubwa na sehemu nyengine kwenye Hela.
 
Duh..
Watafute funding wapanue wigo wa huduma
 
Hao wanafunga majengo, wapo Africa nzima, mimi nilipo ni jirani kabisa na Jengo lenye Fiber ya raha wamekataa kunifungia, wanafunga Kwenye Maghorofa marefu yenye apartment NYINGI, hotel kubwa na sehemu nyengine kwenye Hela.
Duuh hao jamaa mbona kama wana maringo ya TTCL kiaina?

Sema saizi tunapoelekea kwa hizi internet za Router, hayo makampuni yatakuja jutia hizo nafasi walizozipoteza
 
Tuendelee kupambana,iko siku najipa hope ntanunua mjengo wa kuishi katikati ya jiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…