SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Jana nilichomeka flash yangu kwenye desktop ya mtu ili kuPrint file lilokuwemo na nilipoiweka baadaye kwenye desktop yangu nilikuta shortcut ya folder iliyoandikwa "Administrator″ na nilipojaribu kuifungua iliRun in command prompt kisha windows 7 ikaniuliza kama naruhusu hiyo kitu kufanya mabadiliko kwenye computer nikakataa kama mara nne hivi kisha Computer ikawa nzito sana sasa sijui kama ni virus au ni nini