Hiki ni kipawa

[emoji3] [emoji3] [emoji3] umri ushasonga ndugu yangu.... Lakini ni kuanzia usoni tu mpaka kitovuni baasi.... Huku kwenda chini ni new brand kabisa [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji81] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Basi wale samaki watakufaa sana, kawavue tu
 
Mimi hata meno yameanza kutoka moja moja, ila chini kamba imekaza kama uzi wa gita sauti nyembamba…
[emoji144] [emoji3] [emoji81] fiagla inahusika
 
Ndio unaweza kabisa Sifa kubwa ikiwa ni upole kujali kutojikweza kutokasirika wala kulipa visasi
Ahsante sana mkuu bnana Mshana jr nitajifunza kutoka kwake toka sasa nimependa mno mfumo wa maisha yake ni zaidi ya mfalme
 
Duh! Huyu ngekewa namm nimemkubali. Ngoja nianze harakat za kumsaka
 
Gheri ni nini mkuu
 
Reactions: bbc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…