Kuna jamaa ana namba ACX anatoka Mwanga to Arusha. Namba sio ishuSio namba A hii?
Inatembea ? Au ndio mpaka uibebe??NJOO NA 400K UBEBE UKABANDIKE STICKERS NA SERVICE KIDOGO UINGIE ROAD, IPO KIPAWA DAR ES SALAAM
PIGA SIMU NO 0724330585
View attachment 3671936View attachment 3671938
Inatembea ? Au ndio mpaka uibebe??
BSio namba A hii?
nakazia hapaZingatia service kidogo ova.
Ni No B mkuuSio namba A hii?
Huo ndio uhalisiaHii pikipiki ukinunua kituo cha kwanza ni kwa fundi. Ukitoka hapo ndiyo unarudi nyumbani kuwatambishia majirani.