Hiki ni chumba cha kuishi au dampo?

Hiki ni chumba cha kuishi au dampo?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,448
Reaction score
8,422
DragsterBus_NiceFun_17_2225.jpg
 
Inategemea na mtumiaji anakitumia zaidi kwa shughuli gani!! Kulala anaweza kwa kuwa anasukuma mzigo pembeni na anapata pa kuegesha ubavu🙂
 
hii ni dampo.na ndani ya kichwa chake kipo hivyo hivyo
 
Kama hii nimeishawahi kuiona sehemu fulani ktk nchi ya japani ingawa wenyewe walikuwa more organized, ilikuwa ni nyumba ya vyumba viwili kuishi familia ya watu watatu baba, mama, na mtoto mdogo. Waliitumia sebule kama ofisi yao ya biashara ya magari ya mitumba, jiko, photocopy/fax room, dinning room lakini kila kitu kilikuwa ktk mpangilio mzuri. Kwa kweli sijawahi kuona mahali.
 
Duuuhh!!! Muvi....au laivu??
 
Vyumba kama hivi mara nyingi ni vya watu wenye asili ya Uhandisi....
 
Huyu akiagana na demu anakisafisha na wala hukijui kama ndo ile dampo
 
Muhimu ni kukumbuka mswaki,kijiko,kitana n.k viko upande upi basi huo muda kuremba sijui kupanga nafanya mambo mengine.
 
Kutembea humu ni staili ya kuruka kama chura
 
Inaitwa hoarding. You bury yourself into this and die slowly. Actually ni aina ya ugonjwa nadhani, unaishi kama kitimoto!
 
baba baba baba daaaaaah! hata kama weng wetu hatuna mipangilio mizur bas huyu amezid jaman khaaaaa
 
Muhimu ni kukumbuka mswaki,kijiko,kitana n.k viko upande upi basi huo muda kuremba sijui kupanga nafanya mambo mengine.
hahahah mkuu umenifurahisha sana, usipokumbuka vipo wapi utajikuta kila siku unanunua mswaki mpya teh teh teh
mpaka demu aje kurekebisha hilo getho ni furru furrurru
 
Huyu atakua ana hama lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nakumbuka ghetto letu tulivyokuwa primary
 
Huyu lazima bachelor ambaye kapigwa kibuti sasa msongo wa mawazo hayo.
 
Back
Top Bottom