Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Unakuwa huna hela nafuu ya wapinzani!Hawata sahau, sasa hivi wanaishi kwa matumaini kama waathirika wa homa ya INI (hepatitis B), maana HIV ina nafuu
Unakuwa huna hela nafuu ya wapinzani!Hawata sahau, sasa hivi wanaishi kwa matumaini kama waathirika wa homa ya INI (hepatitis B), maana HIV ina nafuu
Lizbon saivi atakuwa ameamua kuangalia maisha wenzake akina makonda ally hapi wameshatokaHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha.. cjui wamepotelea wp uvccm + Lizabon
Sent using Jamii Forums mobile app