Hiki ndicho kitakachoiangusha CCM 2020

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Menemene tekeli na peresi.

Haya maneno kwa Mara ya kwanza yaliandikwa kwa mkono Wa MTU asiyeonekana yakimuonya mfalme Nebukadreza aliyekua jeuri na kiburi kuliko kawaida hata alidiriki kuwataka watu wamuabudu.

Maneno haya yalimaanisha ufalme unaanguka na kusambaratika.

Kiburi siku zote huleta kujiamini kupita kiasi, huleta ugumu Wa moyo, huleta majivuno, pia kiburi kinasababisha mtu asisikilize mausia na aone yeye tu ndo anayejua kuliko wengine wote, pia kiburi humwaminisha mtu kuwa yuko salama hata anapoingia shimoni.

CCM na mfumo wake wote imefikia wakati wa "menemenetekeli na peresi" na ndio maana hawaoni kwamba, watanzania hawahawa waliowaita kichwa cha mwendawazimu leo wanadhubutu kuwakosoa wanapofanya uovu.

Mwendawazimu ni mtu ambaye kila kitu kwake ni sawa, hana baya wala jema, hana furaha wala huzuni, lakini sio Tanzania ya Leo. Tanzania ya Leo watu wanajua majira na nyakati, ila CCM bado hawalijui hilo japo wanaamini wao ni werevu kuliko wenzao wote.

Wanaendesha nchi kama wanaendesha familia, baba akiamua kuwacharaza watoto bakora wawe wamekosa ama la, ili mradi kiu yakeyake ni kuwachapa basi, lazima wale bakora.

Nchi sio familia kuongoza nchi kunahitaji akili na na maarifa, unaendesha watu ambao wengine wamekuzidi upeo na ufahamu, unapa swa kukubali kukosolewa,kuonywa, na kurekebishwa lakini ukiwa na kiburi huwezi kukubali, na ukikataa maonyo na marekebisho anguko lako litakuja gafla.

Kwasababu ya kiburi, dharau, jeuri, majivuno, majigambo, usanii,uongo, ukaidi na ubabe, CCM itaanguka anguko LA aibu na haitarudi tena.

Itasambaratika ili neno "menemene tekelinaperesi" litimie. Watch and see.

Kwa sababu ya kiburi watakuja hapa na kuanza kukufuru tena.
 
Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,428

Viroba vya mchana vinasababisha ndoto mbaya
 
Mlandula Jr

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
1,700

Umeongea vyema sana.
 
mzalendo15

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
1,367

Maono mazuri.
 
Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
2,412
2,000
Dua la kuku halimpati mwewe. Mtatamani sana kuwa CCM ishindwe lakini ndo mnatakiwa kusahau. Chini ya sheria hizi za uchaguzi, haiwezekani! Kufikiri kuwa itashindwa ni ndoto na kiini macho!
Watawala wenye kiburi huwa hawaanguki kwa uchaguzi. Kwa Kile kiburi chao Mungu anawagombanisha na kuwaangusha bila wao kujielewa kama wanaanguka. Endeleeni kujiongezea viburi mkidhani mna ujomba Mungu.
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,923
2,000
Viroba vya mchana vinasababisha ndoto mbaya
hata wakina Petro walionekana wamelewa walipokuwa wanatoa unabii na kunena kwa lugha kwenye kitabu cha matendo ya Mitume.

Hivyo yapaswa hata mlevi Akasikilizwa Anenayo Hata Punda alitumiwa na Mungu Kumsemesha Baalamu.
 
Marlex Jr El

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
1,785
2,000
Ndoto za kila mpinzani na matamanio ya watanzania wenye timamu ktk bongo zao ni siku moja huyu mtu CCM aondoshwe madarakani, Lakini ni kwa namna gani ataondoshwa madarakani ni kitendawili kwa wote maana kwa aina ya uongozi wa upinzani uliopo hivi sasa ni ndoto achilia mbali asilimia karibia 82 ya watanzania awajielewi na awaelewi wanataka nn.

Ili kumwondoa huyu mtu CCM uwa nasema kila siku, upinzani unahitaji kufumuliwa upya na kuwa na sura za mabadiliko ya kweli, siamini mtu aliye zaliwa kuanzia miaka ya 1940 hadi miaka ya mwanzo wa 1970 hii sample hapo hakuna mpinzani wa kuiondoa CCM wengi wao japo si wote wako upinzani kwa sababu kama tatu hivi:.. 1.Walikosa nafasi CCM hii inaitwa nitoke vipi. 2.Wengi ni ma agent wa CCM au Usalama. 3.Kutafuta umaarufu na mikoni yao na familia zao kwenda kinywani.
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,075
2,000
Dua la kuku halimpati mwewe. Mtatamani sana kuwa CCM ishindwe lakini ndo mnatakiwa kusahau. Chini ya sheria hizi za uchaguzi, haiwezekani! Kufikiri kuwa itashindwa ni ndoto na kiini macho!
Ziko namna nyingi tu!! hata Lema ameshasema huyu hakatizi ngwe yake!! subirini.
 
H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Ndoto za kila mpinzani na matamanio ya watanzania wenye timamu ktk bongo zao ni siku moja huyu mtu CCM aondoshwe madarakani, Lakini ni kwa namna gani ataondoshwa madarakani ni kitendawili kwa wote maana kwa aina ya uongozi wa upinzani uliopo hivi sasa ni ndoto achilia mbali asilimia karibia 82 ya watanzania awajielewi na awaelewi wanataka nn.

Ili kumwondoa huyu mtu CCM uwa nasema kila siku, upinzani unahitaji kufumuliwa upya na kuwa na sura za mabadiliko ya kweli, siamini mtu aliye zaliwa kuanzia miaka ya 1940 hadi miaka ya mwanzo wa 1970 hii sample hapo hakuna mpinzani wa kuiondoa CCM wengi wao japo si wote wako upinzani kwa sababu kama tatu hivi:.. 1.Walikosa nafasi CCM hii inaitwa nitoke vipi. 2.Wengi ni ma agent wa CCM au Usalama. 3.Kutafuta umaarufu na mikoni yao na familia zao kwenda kinywani.
Kwakua huo ni mtazamo wako sio mbaya..ila upinzani huuhuu utaiangusha CCM Mungu akiamua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom