Hiki ndicho kinachomtafuna Membe na kundi lake

Hiki ndicho kinachomtafuna Membe na kundi lake

upinzania pengine kwa kutokujua wanaweza kumuunga mkono Membe, lakini katika watu ambao hawafai hata chemebe ni huyu jamaa, waliigeuza Tz yeye na kaka kuwa pango la walanguzi, mimi ni mpinzani damu damu lakini Membe acha unafiki tunajua hela za wafanya biashara ulizokura ndo maana unawatetea bila sababu ya msingi, tunajua ulivyo aga pale wizarani kuwa lazima utakuwa raisi lakini kila kitu umekosa, hivi ungepewa uwaziri ungeyasema hayo kweli?
 
Tuna rais dhaifu sana kuliko JK.. Huyu wa sasa hakuna kitu kabisa.. Urais sio kujenga barabara au kukamata samaki
 
Kumbukeni Watoto wetu Wanaandika:

CCM Jibuni swali hili Acheni kumshambulia Maoni ya Membe !

Unawezaje kufuta Uchaguzi kwa dhana ya wapiga kura walikuwa sio halali ,

Ni watoto ,Wasio Na sifa ,Sheria kukiukwa

wakati hao hao ndo waliochagua Magufuli ??

Yaanimasanduku mawili kati matanohayana tatizo wakati wapigaji kura wasiokuwa Na sifa ndo hao hao ??

Walipiga SAA hiyo hiyo? Walitumia chumba hicho hicho?

Mawakala Na wasimamizi hao hao ?

Halafu Unafuta Uchaguzi kote kote badala ya kurudia sehemu zile zilikoharibika ?

Magufuli anakuwaje halali?Wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar watakuwaje halali ?

Kwa Maoni yangu
----------------
Hivi Ndugu zetu Zanzibar wataishi hivi mpaka lini?

Kumbukeni Watoto wetu wanaandika !!
 
Kwani Dr Slaa ndo msemaji wa mwisho katika nchi hii? Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake ilimradi havuki mipaka
Mbona unaweweseka,umeambiwa Dk Salim we unamtaja Dk Slaa,
 
Imeingia week ya pili sasa tangu ndugu membe aanze Kusikika kwenye magazeti akijitutumua kusikika na kusomeka.

Katika lile kundi liliohujumu uchumi wa nch yetu yeye ameteuliwa sasa kuwa muongeaji akijaribu kukosoa utawala wa magufuli.Kiuahalisia ni haki yake ya kikatiba hakatazwi.

Ila kilichopo nyuma ya pazia na maumivu baada ya kuona kuwa amesahaulika na ktk kila ambalo wao walifanya kwa ushirikiano na wenzake kuhujumu uchumi wa nchi hii.

Mtandao uliokuwa unawasidia tra na bandarin umeondolewa.

Ni mtu mwenye majeraha na anayeonekana kuwa ana nafas ya kusema kwa kuwa ashakataa tamaa ya kupata cheo chochote.

Membe ni mnafiki ambaye alianza kwa kumsifia magufuli alipositisha safari za nje na kudai watu walikuwa wanapishana angani kama nchi inawaka moto.

Baada ya teuzi zote kupita na pia yeye na watu wake kuathiriwa ameanza kupiga kelele.
Membe amewah kuikosoa ccm lin katika miaka 10 iloyopita? Leo ana uzalendo gani?

Membe ni mnafiki huyu ndo alitamba miaka ile uwa nchi haiwezi chukuliwa na wahuni kwa kutumia land cruiser mkonga akijipendekeza kwa muaamar ghadafi.

Hatimaye watu walichukua nji na kumuua kwa aibu ghadafi.ni membe huyu huyu aliwaunga mkono tena waasi kwa kuwatambua.

Ni mtu asiyeaminika hata kidogo ana haki kukosoa maguful si mtakatifu. Ila nauliza ALIKWI? Alikuwa wapi?



​


Membe atulie majipu yatumbuliwe vizuri had I viini vitoke...TANZANIA IMELIWA SANA TUNAHITAJI RAIS MWENYE MAAMUZI KAMA MGUFULI..HAIWEZEKANI BILIONI 185 ZITUMIKE KWA KUNUNUA TIKETI ZA NDEGE WAKATI WATU HATUNA MAJI ....VIVA MAGUFULIIIIII
 
Kila mistake aloifanya kikwete ataijutia sana. Daima maamuzi ya wananchi yaheshimiwe
 
Back
Top Bottom