Hiki ndicho alichosema Dr. Lwaitama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki ndicho alichosema Dr. Lwaitama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIBANYENDERA, Mar 7, 2011.

 1. T

  TIBANYENDERA Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  DR Lwaitama alijibu mapigo yaliyotolewa na Rais, na viongozi wa chama cha mapinduzi, alisema mambo yafuatayo;
  1. CDM wana haki ya kutafuta na kuongeza wanachama kwa kuzunguka mikoani, haki hiyo ni ya kikatiba na vilevile ipo chini ya Sheria Ya Vyama vya Siasa.
  2. Na CCM kama inahitaji ifanye hivyo, isikalie kulalama tu
  3. Mambo yanayoongelewa na CDM ni halali kwa sababu kazi ya chama cha siasa ni kuangalia mambo ambayo yanayoumiza wananchi
  4. Hakuna machafuko yoyote kwa sababu, CDM walipoenda Mwanza walifanya mikutano baada ya pale wananchi wapo wanendelea na shughuli zao kama kawaida, vivyo hivo Shinyanga, Kagera na Musoma
  5. Maandamano yote yalipata baraka zajeshi lapolisi lakini pia walipewa ulinzi wa polisi sehemu zote
  6. Hakuna anayewalazimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya CDM bali wananchi wanavutwa na kukunwa na sera za CDM, Hivyo CCM isiwasemee wananchi
  7. Wanaotaka kuvuruga hii nchi ni CCM kwasababu ya kuendeka swala la Amani ambayo mda wote imekuwepo
  8. Maneno ya Chiligati, RAIS, waandishi wa habari ni kutaka kukisaidia chama cha mapinduzi ili kuweka taswira kwa wananchi kuwa CDM ni mbaya inaleta vurugu, hivyo kuwafanya jeshi la polisi wasiruhusu maandamno ya CHADEMA kanda za juu kusini
  9. Hakuna aliye na lengo la kupindua serikali, bali Serikali legelege huondolewa kwa maandamano madogo kwa sababu serikali ya namna hii huogopa kila kitu ni hutaka kudhibiti maandamano, likitokea hili serikali husababisha vurugu na hivyo kusasbabisha vita
  10. Aliwambia kuwa kama wanaona Mbowe na Slaa ndo wanasababisha vurugu ambayo haipo basi wawakamate na kuwatia ndani ili waone kama amani itakuwepo.
  Haya ndiyo yaliyosemwa na Dr huyo, wewe una maoni gani?
   
 2. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mfa maji haishi kutapatapa wananchi ndo tunazidi kuipenda chedema tumaini jipya la maisha kwa watz
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I conqur with him 100%
   
 4. M

  MkuuMtarajiwa Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I differ with him by 0 %
   
 5. stwita

  stwita JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja. Down with CCM propaganda, Long live Chadema na wapenda mabadiliko chanya wote
   
 6. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  100% perfect and 0% imperfect Dr Lwaitama
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  haya maoni tumeyasema mda mrefu humu mpaka tumechoka mwshoni tunagonga ma asante naenda zangu tuu!
   
 8. M

  Maka Kassimoto Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CCM ni kutokuukubali ukweli. Chama kimezingirwa na mabedui kiasi kwamba viongozi wanaona heri chama kife kuliko kuwang'oa hao wanyang'anyi. Na kwa msingi huo hata kusimamia ustawi wa wananchi imekuwa kama vile si jukumu la serikali kwa sasa. Daima uongo hujitenga na ukweli, shida za wananchi ndio zinazowatia mabarabarani kuandamana. Kwa shida zao wataichukia serikali yao, na kwa mahangaiko yao watakichukia chama chao. Kati ya mamia ya waandamanaji wamo wanachama wa CCM, maana hata wao wanapata shida hizohizo. Hakuna mwanadamu mwenye njaa anayeweza kutii mamlaka asiyoikubali.
   
 9. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm wana hangaika bure; wanaona muda wao wakukaa ikulu na kula malalio yetu, umekwisha, pia mfamaji haachi kutapatapa, lazima wafe tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu haya kayasema wapi? na lini? na mbele ya nani??
   
 11. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  11. Raisi aliogea kama raisi kwa point kama nne tu za mwanzo baada ya hapo alikuwa anaongea kama mwenyekiti wa ccm!

  Haya aliyasema alipoojiwa na WAPO radio!
   
 12. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  CCM bana, kweli hamna mtu humo anayeweza kufikiria buyond the average level? It is a simple logic kuona kama kuna vurugu au la. i dont know kwanini wanalia lia kila mara na wao ndo wameshikilia kila kitu...
   
 13. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hataingekuwa Dk. Lwaitamwa asingesema haitaji Phd kujua hilo hata kijana aliyemaliza la saba anajua kuwa harakati za CDM ni za amani na nikwamstakabali wa nchi.
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hakuna zaidi, hivyo hivyo neno kwa neno
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tendwa ndo alitakiwa azungumze namna hii, lakini hamna kitu.:decision:
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I agree with you 100%:A S 112:
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Ila kweli, pocbly anajilaumu kwa upupu aliomwaga bila kuangalia upepo unaelekea aliko yeye, now unamuwasha balaa :msela:
   
 18. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ukiongezea au kupunguza utakua mchawi...............
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naomba kuongezea hapo, alisema ni janja ya CCM kuufanya ulimwengu na Wabongo waamini kuwa CDM ni mbaya ili apate sababu ya kuwachapa risasi, na kwamba, ishu zinazoongelewa na CDM ziliibuka baada ya uchaguzi hivyo ni nonsense kusema uchaguzi umepita wakae kimya! Nilimsikiliza radio WAPO, hadi raha yaani, ningekua na robo ya ubongo wa huyu jamaa, sijui hata ingekuaje!!!
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama kuna watu ambao CCM inawaogopa kwa sasa ni Dr. Slaa na Mbowe. Hawa CCM inawachukulia kama magaidi wakati wananchi wanawachukulia kama mchungaji aliyeibuka Loliondo saizi kutokana na magonjwa iliyoyaacha na kuyalea mpaka saizi!
   
Loading...