La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,040
- 1,136
Dai kashasema,alianza kudate na Hamisa hata kabla ya Wema,upoo?Sasa bi dada huoni kama mwanamke anayejisifia kutembea na bwana wa mtu ni mtazamo hasi, maana mwisho wa siku anachotaka ni attention na labda bwana mkubwa ahamishie majeshi kwake, at the same time mwanamke anayejielewa anafahamu ugomvi kama huo ni mambo ya kifamilia ya kuyasolve na anamuua kuendelea na yake kwa sababu first of all ni Miss independent anaweza kujimudu kwa namna yoyote hata kama anaumia lakini anaumia kwenye Bentley sasa wewe ukiumizwa usikute unaishia kuumia kwenye chumba cha kupanga na kutujazia comments kwa tecno yako