Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Sasa bi dada huoni kama mwanamke anayejisifia kutembea na bwana wa mtu ni mtazamo hasi, maana mwisho wa siku anachotaka ni attention na labda bwana mkubwa ahamishie majeshi kwake, at the same time mwanamke anayejielewa anafahamu ugomvi kama huo ni mambo ya kifamilia ya kuyasolve na anamuua kuendelea na yake kwa sababu first of all ni Miss independent anaweza kujimudu kwa namna yoyote hata kama anaumia lakini anaumia kwenye Bentley sasa wewe ukiumizwa usikute unaishia kuumia kwenye chumba cha kupanga na kutujazia comments kwa tecno yako
Dai kashasema,alianza kudate na Hamisa hata kabla ya Wema,upoo?
 
Ni ukweli, ukiwa tegemezi kwa mwanaume mkiachana unaweza kufa kwa machungu, ila ukiwa independent mkiachana leo asubuhi unaendelea na mambo yako, ndio maana huwa sitaki hata mia ya mwanaume labda anipe kwa raha zake ili ukinichosha dakika hio nikunawe

Namuonea huruma hamisa, marafiki zake kina dillish,Jackiegarade etc wanamiliki biashara, wanafanya vitu vinaeleweka, hamisa ulitakiwa uwe unaown projects zako ila hio akili huna,na mama yako nae inaonekana mnasubiria hela ya kudanga mama nae anapenda mambo makubwa..

Kwanini unakubali kuzaa na domo, kama mtoto wa kiume tayari anaye yani hakuna jipya ulilolifanya, unamkomoa zari kwani alikukosea nini? Mimi ningekuwa wewe ni kumchuna tu mondi lakini kuzaa nae big no, kumbuka atakuja mwingine kumzalia domo, unajiongezea watoto wenye baba tofauti, Hamisa ni mzuri ila bahati mbaya kichwani Mungu alikunyima akili...hivyo unatumia akili za chini kuwaza about your future
I pity you.....
Na akili ya yule mtoto wa tandale ninavyoona kuna idadi ya watoto amepanga kufikisha atakaye jipendekeza mtoto anamuhusu!
 
Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
What a brilliant post mwanajamvi!!!
 
...halafu hamna kitu kinachoumiza kama mwanamke awe na pesa halafu atendwe ....atajikagua mwili mzima aone kasoro gani imepelekea kusnichiwa hehehe
 
...halafu hamna kitu kinachoumiza kama mwanamke awe na pesa halafu atendwe ....atajikagua mwili mzima aone kasoro gani imepelekea kusnichiwa hehehe
Zari amemsnich baba wa 3 wake na wanaume kibao tu kabla hata ya Diamond.
Diamond kafunika kombe tu mwisho hapo.
Yule ni katika wanawake Iron hilo swala la Diamond kukanyaga hilo kwasu kwasu sidhani km litamsumbua, haya ndugu yetu wa tandale lile jumba alilosema kanunua kule South aanze kusahau.
 
Zari amemsnich baba wa 3 wake na wanaume kibao tu kabla hata ya Diamond.
Diamond kafunika kombe tu mwisho hapo.
Yule ni katika wanawake Iron hilo swala la Diamond kukanyaga hilo kwasu kwasu sidhani km litamsumbua, haya ndugu yetu wa tandale lile jumba alilosema kanunua kule South aanze kusahau.
Hehehehehe
 
Stress flani za kishua. Kuna hatari mashemela wa WCB wakajipigia kwa tiketi ya kufariji, yule mtoto aliyetoka Temeke Seke Seke sina imani nae, hawa wengine wakuja.
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom