Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,526
duh! hata sina cha kujibu hapo maana umetoa info zingine za ndani kuliko hata Mickey mwenyewe! na umeconclude tayari.
NIlipo sema dada anamtega ilikua kwa kumletea business zingine kabla hawajamaliza ile ya pesa, sikusema kua hamlipi, mi siwajui vizuri kama unavo wajua wewe.
Sio kwamba nawajua sana, ila nimejaribu kufikiria upande mwingine, sio lazima kila habari unayoletewa uimeze nzima nzima bila kuitafutatafuta hadi ilainike kabisa.
Pia kumbuka usemi wa leo kwa mwenzio kesho kwako, may be in a different way. Ukiona mwanaume anatafuta ushauri unaofanana na kudhalilisha na kukebehi mwanamke mwenzio, muogope kama ukoma, mfano mzuri ni mleta mada hii.