Hiki kizazi vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki kizazi vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MwanaCBE, Oct 6, 2010.

 1. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,774
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Mtazamo wangu: kizaza cha CCM cha kuanzia miaka ya 1960 ni kiovu na hakina uadilifu wa kuongoza. Hawa wanachochewa na baadhi ya vizee ambavyo vishakuwa vishenzi ktk nji hii kama Shimbo na Kingunge.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ni cha nyoka hadi vitiukuu vyao vimekifa bado vya nga'ngania madaraka hata aibu havina . Hopeless kabisa
   
Loading...