Hiki kitendo kinanitatiza

Hiki kitendo kinanitatiza

Hahhaaaa nimesoma kwa raha nikajua basi leo hatimae mwana JF mwenzetu charminglady kaamua kutoa ya moyoni kumbe ni yale yale, "nimetumwa na mtu" , rafiki yangngu, shemeji yangu........ni lini tutakubali kuwa haya tnayoyaongea ni ya kwetu na sio ya watu wengine??

Mpe pole zake ila jamani, huuu ugonjwa wa kuitana uboifrendi na ugelifrendi huu ndio uende kabisa ukapike? Ukafue? ukalale?? Mmhh
 
Last edited by a moderator:
msome Kalunguine katikati ya mistari (between the lines) kama hunania mbaya na penzi lako...sio kila msemo unamaana kila mahali. Eti "ndege wa mbawa huruka pamoja!!" amka, fumbua macho na uone.
 
Last edited by a moderator:
Hahhaaaa nimesoma kwa raha nikajua basi leo hatimae mwana JF mwenzetu charminglady kaamua kutoa ya moyoni kumbe ni yale yale, "nimetumwa na mtu" , rafiki yangngu, shemeji yangu........ni lini tutakubali kuwa haya tnayoyaongea ni ya kwetu na sio ya watu wengine??

Mpe pole zake ila jamani, huuu ugonjwa wa kuitana uboifrendi na ugelifrendi huu ndio uende kabisa ukapike? Ukafue? ukalale?? Mmhh

Hahahaaaa.... Huyo nishost angu bana, mie naifahamu serikali ya kichwa changu na ninaimanage vizuri tu. Tukizinguana natoa makavu live!!!! Bidada sio member humu na nikaona nikimshauri naweza kumpotosha na wakaachana na mchumba wake kisa ushauri wangu. Mwisho wa siku urafiki wetu ukafa bure wakati bado namuhitaji kwenye issue flani flani..... Make hapo ushauri wangu wa haraka haraka ningemshauri "Tupa kuleeee" :bange: :bange:

Natamani mtu mmoja humu awe shahidi ila basi tu sipendi kuexpose!
 
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...

nimekupenda umenena kweli!
 
Last edited by a moderator:
Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa....

ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda...

Nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa.

Heheh...

Mi nakushauri uhamie kabisa huko kwa boifrendi wako ili ukabe vizuri hadi penati...tena ikiwezekana mzalie kabisa na ka junior...

Bi mkubwa unaonekana mshazoeana hadi waenda kujipikilisha, wabadilisha hadi nguo huko(bila shaka umechongewa na kabati la nguo)...
 
Ukitaka kufahamu kama boyfriend wako nae ana hizo tabia basi nenda kwake bila taarifa, iko siku kama anafanyaga kama kakae utamkamata tu!
 
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...


Kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
Kwa haki haya mambo ya kuwa mke kabla hujaolewa yanatucost sana wengi wetu...
Unamfanya mtu asione umuhimu wa kukuweka ndani kwa sababu huduma zote anapata.
RAFiki yangu ameishia kuolewa na dereva wa ofisi yao baada ya kuona umri unaenda..yuko na jamaa yake wa zamani kwa zaidi ya miaka 5...kila akigusia ndoa jamaa anasema bado kidogo na wote ni wafanyakaz na wanajitegemea ila maisha waliyokuwa wanaishi ni kama mke na mume bi dada mfuaji kila weekend mfanya usafi, mpishi yeye...
 
sisi waislamu tuna ambiwa hivi,mfikirie mwenzio vizuri...hata kama umemuoana mwanaume na mwanamke wanatoka kichakani jiambie ya kuwa walikwenda kila mmoja kivyake pale kichakani kutafuta mbuzi wao aliyepotelea kichakani na wakakutana kwa bahati mbaya..hata kama wanatokea guest na ukawaona,jiambie ile ni nyumba ya wageni na wametoka pale kutazama mgeni wao aliyefikia pale...ryt? Maadamu hujamfumania mchumba wako,uache hisia mbaya,ndoa na mahusiano mengi duniani yamekufa kwa sababu ya hisia mbaya,sio kwa sababu za ukweli...take it from me!
Kaka The BOSS, utumwa mwingine huo.
 
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...

wadada kwa kujilipua siku hizi wanaongoza. acha tu yawakute.
 
si ajabu huyo bidada aliyemkuta ni mke mwenzie na hapo kaitwa makusudi achorwe tuu.
 
Habari zenyu binafsi,

Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa.

Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.

Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.

Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.

Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.

Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As “Birds of the same feather flock together.”

Naomba ushauri wenu....

Ndimi Dada Hawa C/O charminglady

Utampata wapi mwanaume wa tofauti na huyo boy wako, mm naona wanaume asilimia kubwa wako hivyo
 
nakupinga mkuu tabia ya msichana kuenda kufanya majukumu ya kifamilia kwa mchumbaye ilhali bado hajaolewa wala si maungwana na yanastahili kukomeshwa,kwani mchumba wa kiume pia huanza kutimiza majukumu yake kama kumnunulia mahitaji yote mchumbaye na kumtunza kwa kila hali kama ambavyo mume anatakiwa kufanya ndani ya ndoa?na kama wewe hujaathiriwa na hiyo tabia ya mwenzio jipe hongera na umshukuru Mungu kwa kukupa moyo thabiti lakini ukweli ni kwamba atembeaye na wajinga atapatwa na mabaya hata biblia inakubaliana na hilo.
Kwa nini mnapenda sana kugeneralise mambo? Ushauri huu umejaa ukakasi.

Mosi house keeping ni jukumu la mwanamke na kabla hujamuoa ni sahihi kwa yeye kuyafanya majukumu hayo kwani ndio rehearsal ya ndoa.

Au nyinyi mnataka boyfriend wake ndio apike wakati mamito yupo mjengoni?

Kuhusu umalaya hiyo ni fani na maumbile ya watu si kweli kwamba ndege wafananao huruka pamoja.

Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana yeye akiamuwa kwa siku moja anaweza akabadili mpaka wasichana watatu kusigina amri ya 6. Na tabia yake hii haijawahi kuniathiri mimi kimahusiano maana ukiacha tabia yake hii ya kupenda totoz ni kichwa cha uhakika na ni mashine ya kazi kwenye kazi zetu.

Mwanamke wakunishauri kukatiza urafiki wangu na mtu huyu basi niko tayari kuachana na mpenzi wangu na si rafiki huyu ambaye machoni pa wazembe ni play boy ila machoni mwangu hii ni engene na mashine ya ukweli with unique iq.
 
Habari zenyu binafsi,

Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa
Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend
wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.

Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.

Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.

Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.

Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As "Birds of the same feather flock together."

Naomba ushauri wenu....

Ndimi Dada Hawa C/O charminglady
Dah..! wivu bana noma kweli.
Ninachokiona hapa unajaribu kulitengeneza bomu la kulipua mipangilio ya hiyo ndoa,
Kwa kuotesha mizizi ya kutojiamini katika fikra zako.
Siku zote mahusianao yaliyo imara yanajengwa na UAMINIFU,hivyo penzi likikosa huo msingi mwisho wake ni maumivu.

Mwanamke wa kweli ni yule anayejiamini kwa kila anacho kifanya hauwezi kumuamlia shem wako namna ya kuishi kupitia kwa mdogo wake,kila mmoja anamaamuzi yake katika maisha yake anachokifanya ndo anachokifurahia huyo shem wako huwezi kumbadili na pia usichukulia kama sababu ya kuhisi pia huyo mchumba wako anafanya hivyo.
==yeroo==
 
Uchumba/urafiki ukikaa mda mrefu hivyo, matokeo yake mara nyingi sio mazuri. Mwanaume mwenye nia thabiti ya kuoa hakai na mwanamke mda mrefu hivyo! Jiulize tena!
 
Naona wasichana wengi humu wanasema no kufua na kupika kwa b/friend ama mchumba. Akili yangu ikataa, naona mnadanganya tu.

Wasichana wangapi wakifika wanapoishi kwa b/f ama mchumba hawapiki au hata kufanya usafi? labda kama mnakutana guest.

Ambacho sikubaliani ni hiyo ya kusadiana kupika ama usafi iwe extreemely.
 
Heheh...

Mi nakushauri uhamie kabisa huko kwa boifrendi wako ili ukabe vizuri hadi penati...tena ikiwezekana mzalie kabisa na ka junior...

Bi mkubwa unaonekana mshazoeana hadi waenda kujipikilisha, wabadilisha hadi nguo huko(bila shaka umechongewa na kabati la nguo)...

Daddy!!!!!!!!! Haya ntamshauri hilo, ingawa mchumba wake huyo huwa anamwambia ahamie ila bidada kagoma kwa kuwa hawajafunga ndoa................
 
Haya mambo bwana ya wasichana kutaka kuolewa yanachanganya sana,kuna wengine wapo radhi kuingiliwa kinyume na maumbile eti kuonyesha tu anampenda boyfriend wake ni mwisho wa siku wanaishia kumwagwa tu.Wasichana bwana wananishangaza sana, hivi kweli hawajui kuwa unapokuwa na mchumba inatakiwa umubanie ili awe na hamu na wewe, unapomubania anakuwa na hamu na wewe HAKUNA KUPIKA, KUFUA WALA KUVUA PICHU YAKO nakuambia hata kama alikuwa ameahidi kuoa baada ya miaka 3 atajitaidi kuweka mazingira fasta ili angalau ndani ya miaka miwili akamilishe mambo.Sasa kama kila huduma ipo 24/7 kwa nini asikupige kalenda na mwisho akumwage maana ameshaonja kila kitu chako kwa hiyo huna jipya.NATAMANI SANA WASICHANA WOTE WAWE NA MISIMAMO KAMA HII NA NAAMINI NDOA ZINGEFUNGWA KILA SIKU MAANA HAKUNA VYA BURE TENA
 
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...

The Boss wew ni mwiba mkuu umemaliza kila kitu, basi na umchomee..
 
Last edited by a moderator:
Khaa!
Pilipili usoila yakuwashia nini?
...
Unataka kucontrol nyumba kabla ya wakati?
...
Kwanini usiwe na imani na boyfrnd wako kwa matendo ayafanyayo kaka yake?
Ivi hujawai kuona mama mcharuko but mtoto katulia?
For sure boyfrnd wako hawezi kufanya kama utakavyo wewe!
Amgombeze mbele yako!
...
Na akimgombeza tu ataambiwa hivi "unajifanya mjuaji coz nipo kwako?"
...
Embu tulia utuwe kuna baadhi ya vitu ke mnachokoroa wenyewe!

Mashxizo mwiba wako nao mkali mnoo..
 
Back
Top Bottom