Hizi ndiyo sababu kuu zinazonifanya niache kusikiliza vipindi vya michezo vinavyoendeshwa EFM.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,276
12,774
Nichukue fursa hii kuwapongeza Timu ya wananchi kwa hatua hii muhimu waliyofika hakika wameliheshimisha Taifa na East africa nzima.

EFM Kuna vipindi viwili vya michezo Sport hq na E- sport.
Niseme tu wazi kwa kile nichokiona kwa wachambuzi Hawa.

1/ hawajui chochote kuhusu mpira Bali wanatumia ushabiki katika kusimulia na kuzungumza kuhusu mpira kichwani ni weupe sana hata danadana kumi hawajawahi kupiga.

2/wanachangia kwa kiwango kikubwa kuwatoa mchezoni wachezaji wetu Hawa wa Simba na yanga, mfano mzuri Kuna mmoja alimshambulia chama mpaka akajibiwa.

Hao wachambuzi hawajawahi hata kucheza ligi ya mbuzi, hakuna hata mmoja mwenye cheti Cha ukocha Bali wanabashiri katika utabiri wao tu.

Kuanzia Sasa najitoa rasmi kusikiliza vipindi vya michezo vinavyoendeshwa EFM.
 
Naunga mkondo hoja ....
 
Hawana professionalism
Wale maisha yaliwapiga,so njia pekee kutoka kimaisha ni uchambuzi. Na wakiongea ujinga ndo wanaona watatrend,wataongeza followers na kupata matangazo walau elfu 10 10 hazitawapiga chenga.Majizzo alivyo mbahiri wale hata mikataba hawana ni day workers wale.
 
Back
Top Bottom