Ukila sana jiandae kwa kuendesha...kuhar..aManona yanaitwa, nimekula sana. Yanapatikana kwa msimu hasa kwenye vichuguu.
Matamu sana kwa ugali, hasa kwa pembeni kuwe na maharage na kisamvu cha karanga, kilichopikiwa kwenye chungu.
Nimewala kitambo sana, hawa wadudu wakikaushwa/kukaangwa vizuri ni watamu sana, ukila kwa wingi utahara sana coz wana mafuta sanaShukrani Mkuu. Umewahi kuwaonja hawa? Mie sijawahi ila niliwahi senene wa kukaanga kwa rafiki yangu. Ni watamu kusema kweli ila ilikuwa ni mara moja tu.
Kumbikumbi
Kumbi+KumbiKumbi²
Mkuu labda wewe mhehe wa daslam. Wahehe wa iringa tumekula sanawahehe hatulagi vitu vya ajabu kama hivyo