Muh tachii
Member
- Aug 7, 2024
- 7
- 12
Nimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti?
Kuchokonoa mambo huku utakuja kufa kwa presha ndugu..!!Nimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti ??
😁😁😁Usikute ni 'mende', hivyo wala haoni shida..!!
Mmh unapekua mkoba wa mkeo? 🥺🤔 usiyatufute matatizo yaache yaje yenyeweNimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti ??
acha lugha chafu bloodfakin bastardAnajichokonolea mavi😁
Hebu burudika kwanza na kibao cha Rose.Nimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti?
View attachment 3064832