Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
kama kawaida analalamika bila point
Natamani ningekuona ili nipime ukubwa wa kichwa chako ili kufanisha na uwezo wako wa kiakili...naamini wazazi ndugu na jamaa zako wangesikitikia msimamo wako. Du haki sawa ya kila Mtu kuheshimiwa kimawazo unapokuwa na watu Kama wewe ni Changamoto.
 
Dk Slaa amewababua na kama inawezekana kipindi kingekuwa masaa 3. Tanzania watu hawafuatilii vitabu vya bunge kujua nini kimewekwa kwenye maandishi hata katiba. Bajeti ni mbovu kweli Tanzania imeshaoza.
 
Akili mgando mama yako ameshaachika kwa NAPE au bado?mi namtaka
Chadema-kata, utawajua kwa matusi tu sasa unategemea watu kama hawa ndio viongozi wa Chadema, si watalipoteza Taifa letu siku tukiwapa nchi. Kwa kauli hizo Chama chenu cha matusi akitufai kabisa sisi Watanzania wapenda amani
 
Gosbert qoodluck nawe toa point zako kama unaona Dr hana hoja, nahofia sana ushirikiano wako wa akili huenda ubongo wa mbele, wakat na nyuma havina ushrkiano (zimechuchumaa)
 
kuna bilioni zaidi ya bilioni 290 hazijulikani zilitumikaje kwa mujibu wa cag..


Angalau wewe pengine unafahamu analozungumza huyo Dr ingawa hiyo si habari mpya kwetu. Nipo posting ya 22 naona sifa tu lakini hakuna hata mmoja anaeeleza nini kinazungumzwa. Hii inatisha wenzangu kwani iwapo watu wanaona raha kusikiliza tu lakini hawafahamu kinachozungumzwa ni rahisi wajanja kututia katika mtafaruku usio na maana.
 
wadau Raisi wa watanzania anayetawala bila dola bali kwa nguvu ya umma yupo live channel ten anazungumza hoja zenye mashiko na ushahidi wa kutosha, get connected

Tupo wengine tusiopata hiyo chanel, tukitegemea mktatupa hayo anayozungumza badala ya kuwaga sifa tu. Acheni hayo mtatufanya tuhisi kuna tatizo ama kwa kinachozungumzwa au labda Dr ana wafuasi wanaopenda sauti yake hawana haja ya kufahamu nini anachoongea. Nipo posting ya 36 sijapata lolote zaidi ya upotevu wa billioni 290 basi.
 
JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali nimekiacha.kume dokta akisutwa anaelewa e!!! napendekeza naye awekwe selo kidogo hop akitoka atasifia bajeti kama mwenyekiti wake.
ushuuz mtupu kimeo
 
huyu jamaa anatufaa kabisa. Nadhani tunamhitaji sana awe rais wa jmt. Anachambua vizuri kuliko yule prof. Wa uchumi anayejiita mlima kili. Keep it up dokta 2015 ww ndio rais wetu.
Mungu tuongoze.

Ingekua urais unapimwa kwa kuongea na kuchambua tu basi hata Mzee Renatus Mkinga nae anatufaa tena sana!
 
Kuna mjumbe mmoja anamponda Dr. Slaa aache siasa za hisia, sijui siasa za hisia ndiyo zipi huyo ni mmojz wa wananchi toka Mtwara. Kubali reality, tuachie Tanzania yenye amani.
Jibu la Dr. Slaa.
Anashukuru naye Juma (mpiga simu) kuwa naye amesema kwa hisia.

Posting ya 45 ndio kunakuja habari ya swali aliloulizwa Dr na kujibu sasa ina maana ni hili tu ndio mnaosikiliza mmelifahamu kati ya mambo mazuri mnayosema kaeleza? Mimi sina waswasi wa uwezo wa DR kuwaweza watu kirohoo lakini pengine kufahamu mambo ya ya Bajeti ni kazi kwa wale waliowezwa kiroho.
 
When you listen to Dr.Slaa,you can only admire him more! Amesema yeye kazi yake ni kuwajulisha wananchi yale yasiyoonekana na si kuisifia serikali...


Hapa ndipo ninapopinga kwa nguvu zangu zote! Iwapo una nia njema kwa wananchi unatakiwa uhakikishe kuwa unazuia maharibiko dhidi yao. Dr na wenziwe wangekuwa na nia hiyo wangetowa mapendekezo yao kabla bajeti haijatengenezwa ili yasaidie lakini hili la kungojea mtu ajenge halafu uje utowe makosa huku ukijuwa kuwa makosa unayoyatowa hayatarekebishwa pengine tu kwa vile waliotayarisha wameshaona kuw wewe hukuwa na nia nzuri tangu hapo kwani ulikuwa wapi wakati jitihada za kujenga kitu kikifanywa. Hali hii ya wanaojiita wapinzani kukosoa inafanyika kila siku na mwisho wake bajeti inapitishwa.


Mtanisamehe iwapo nitawakwanza kwa hili lakini ukweli wenyewe si DR si Professor na yeyote alie katika upinzani wanafanya haya kwa manufaa yetu badala yake ni kutafuta umaarufu wa kisiasa.
 
Ujue kwa kadri ya Dk Slaa,waziri wa fedha katudanganya...kwenye katiba kasema atafufua reli na shirika la ndege...lakini haonyeshi hizo hela za kufufa hayo mashirika zipo wapi...kwahiyo kasema kama zimefichwa watuambie...miradi mipya haijabainishwa pia...isitoshe hela nyingi zimeenda kwenye wizara chache(kama 6 hizi ) sasa wizara nyingiine watatoa wapi fedha za kuendeshea wizara hizo ilhali fedha zote za bajeti zimeeda kwenye wizara 6 tu...???

Mwe suala la Katiba pia kazungumzia? Na huko nako kuna mashirika ya reli? Du Dr wa roho kawapaisha wengi.
 
Huyu Dr ni nani mpaka watu watamani aisifie serikali,halafu akishaisifia...?

Alaa kumbe lengo ni kubomowa tu? umeona wapi mtu akashindwa kubomoa? Nilifikiri lengo ni kuwasaidia wananchi kwani hii bajeti ni ya maendeleo ya wananchi? Kama Dr anakubaliana na falsafa yako basi atapata tabu kwani yeye si analengo la kwenda huko ? Mkifika huko nanyi mtakuwa na uwezo wa kujenga iwapo mshazoelea kubomowa?
 
Vibaraka wa Nape na Mukama utawajuwa tu kutokana na tarehe zao walizojiunga JF.

user-online.png
kichapo2015

Today 07:14 PM
#1
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 10th June 2011
Posts : 17
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0


Na watumishi wa wengine pia utawajua kwa kigezo hichohicho
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 18th October 2010
Posts : 1,220
Thanks146Thanked 387 Times in 204 Posts

Rep Power : 23
 
Na watumishi wa wengine pia utawajua kwa kigezo hichohicho JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date : 18th October 2010Posts : 1,220Thanks146Thanked 387 Times in 204 PostsRep Power : 23
Mkuu Ngekewa nimejifunza kitu kutoka kwako ngoja nikupe ka hasante kako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom