Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
Hivi kweli wewe hicho chama kinatosha kweli na hayo ndo maisha uliyoridhika nayo
Huyo bwana hana kosa jaman sasa atavaa nn ni hiyo ndo aliogawiwa,ameambiwa asubil suruwali
Huyo bwana hana kosa jaman sasa atavaa nn ni hiyo ndo aliogawiwa,ameambiwa asubil suruwali
Kampeini hiyo ya 2015...kimya kimyaWatanzania wenzangu ifike mahali sasa tuseme "CCM NO"