Hijab kwenye shule za kikristo

Sky Eclat usilolijua ni kama uthiku wa giza novena ndio nini?
 
Hivi kweli kama mzazi imani yako siyo hiyo ya mavazi hayo na akili yako ni timamu ...wampeleka mwanao huko ili iweje...manake kama ufaulu ni hakuna.
 
huyo alifanya vizuri sana...Allah amlipe kheir
 
Nadhan itafika sehem wale masista pia mtawataka wavue hijabu zao!
Nyie ndo mnaolinganisha uarabu n uislamu na hijabu na uislamu, Yakupasa ujue Hijabu ni vazi la stara ambalo waislamu wanavaa! Na ndio maana hata masista pia wanavaa kufunika maungo yao ingawa wao sio waislamu
 
Hijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
ni mawazo yako na una haki ya kutoa mawazo hukatazwi na mtu ila kwa waislam ni lazima zivaliwe popote pale walipo.
 
kweli kabisa mkuu.....nashangaa viongozi wao wanavaa vzr kiasi ila wao wanakaa nusu uchi...akili iko wapi hapo
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Asalam alykhum ina maana ya "amani iwe nanyi" hii salamu hata yesu aliitumia sana.
Hebu nipe andiko linaloonyesha yesu alitufundisha tusalimiane 'Bwana Yesu asifiwe'
 
kweli kabisa mkuu.....nashangaa viongozi wao wanavaa vzr kiasi ila wao wanakaa nusu uchi...akili iko wapi hapo
Masista si viongozi wetu..sio kila mkristo ni mkatoliki..hijabu haina uhusiano na kujistiri na kuwa kichwa waz hakumaanishi ndio hujajistiri..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima na hujabu si lazima na haina umuhimu kwa sisi wakristo hata hao masista wenyewe km uko makini kuwaangalia utagundua hawavaag hijabu ila ni aina ya kilemba cz uvaaji wa hijabu ni tofauti kabisa na jinsi masista wavaavyo!
 

''..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima'' sawa kabisa...wapi wanaovaa mavazi ya heshima kati ya hao wanaovaa hijabu na wanaopita vichwa na mapaja wazi?
naomba tuelimishane mkuu bila hasira tuweze kuupata uzima wa milele pamoja
 
sasa unawafundisha watoto elimu au unawafundisha salamu maria?,

no wonder maprofesa na madoctor wenu ung'eng'e haupandi,,ha ha ha ha


natania tu wazee msije mkanitafuna mbichi mbichi.

Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.

Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa vilaza?
 
tuanze kwa kulijua vazi rasmi la wanawake/mabinti wa kikristo kwanza ndo tuendelee na kuijadili hii mada!
 
Mkristo wa kweli hageuki nyuma wala hayumbishwi,viongozi wengi wa madhehebu wanawanapenda pesa kuliko kukusimamia imani iliyowaokoa iliyoletwa na Yesu Kristo bila fedha.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Asalaam aleykum sio salam ya kiislam brother...ni ya kiarab..aman iwe kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…