uzuri ulimpatia msaada alioutaka.Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Ili uzifanyeje Mkuu?Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Mkuu huko kwa Baba Yetu na Salamu Maria walishapita, watoto walijua mpaka sala za novena.Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.
Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Mkuu huko kwa Baba Yetu na Salamu Maria walishapita, watoto walijua mpaka sala za novena.
Acha udini. Tuishi kama siku zote.
wewe ukiwa muislam na unavesha mtoto wako hijab anapoenda shule ya kikristo, unamsababishia matatizo tu. atatengwa na hatafundishwa vizuri. usimsababishie abaguliwe au kuumizwa moyo kwa mambo yanayoweza kuzuilika.Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo. mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analizisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Kwa nchi hii hiyo salaam siyo kubadili dini tattizo lenu hiyo ya kwenu huwa hamtaki kutoa ufafanuzi ina maana gani?Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
sasa unawafundisha watoto elimu au unawafundisha salamu maria?,Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.
Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho