Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,742
Miaka ya nyuma kuanzia 90 mtu ukisikia kaenda hija mpaka mtaa mzima mnamuogopa sababu kufika huko ilikuwa heshima kubwa sana na wengine ufanyiwa duwa na sheree ndogo nyumbani sio kila mtu kufika huko.
Mtu aliyetoka hija ni kama kaenda kujiakikishia mwenye kuacha kabisa na kuwa kamili ndio maana mtaani wazee waliokwenda mpaka leo ndio wazee tunao waheshimu na watu ambao usikilizwa sana.
Sasa kumekuwa na kila mtu mwenye kusumbuliwa na pesa naye kwenda hija ili mradi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Cha kushangaza wakija mtaani ni yale yale tu wanayoendelea nayo ukilinganisha na kipindi cha nyuma ilivokuwa inaheshimika.
Hija ya miaka ya sasa ibadilishwe vipengere tu maana inakosesha watu wanaotaka kwenda hija kweli.