canta,nitonye,kongosho,trachomatis,judgement and the gang,acheni kuchakachua uzi wa watu.
Data hujambo? Mambo?
Ok nimerudi kwa ajili yako,canta usipite nina mazungumzo na ww..
Shikamoo Bishanga,canta,nitonye,kongosho,trachomatis,judgement and the gang,acheni kuchakachua uzi wa watu.
Data hujambo? Mambo?
Shikamoo Bishanga,
Nahisi kukumiss flan flan!
Mie nimerudi sipiti tena jaman!!!
Mmh hapa hapanifai.....
Napita tu jamani...
Otait,nionyee hawa wanao harib topic yangu na kupotosha maana..
Otait,
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO!!
Kwa mamlaka niliyopewa na mtoa mada anawaonya wote mnaochakachua sred yake muache mara moja na muwe wastarabu kwa kuacha kuchakachua na kupotosha maana.
Swaiba nimetimiza ombi lako!!!
Hahahah hahaha,Ahsante sana CANTALISIA... ni PM ur M.pesa acc No. Nikurushie hela ya vocha.
wasiandike kitu basi... wanaleta ****** wa "feisibuku" humu... c lazima tufahamu kwamba upo...