Hiii sentensi mimi yanikeeraaa... nisaidieni kuwaonya..!!

Mmh hapa hapanifai.....

Napita tu jamani...
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
2uq20qr.png
 
canta,nitonye,kongosho,trachomatis,judgement and the gang,acheni kuchakachua uzi wa watu.
Data hujambo? Mambo?

Sasa Bishanga, umesugua miguu uani kwenye jiwe, kisha ukaenda zako ndani Kandambili ukaziacha palepale uani kwenye jiwe!
Mi sichakachuagi , Mama Ngina kaamkaje ?
Alafu Stars si ndiyo leo wanakipiga na Congo au ?
 
Data hujambo mkuu,
Yeah ni uzooefu tu hakuna mbaya ..
Kuna thread moja ya mkuu Mzizi Mkavu kuhusu tabasamu na kicheko ipitie ukipata muda ...
 
napita tena na tena coz najua huna cha kunifanya wala huwezi nikataza kupita. nikiwa naenda mambo ya kikubwa ntapita tena.
 
Shikamoo Bishanga,
Nahisi kukumiss flan flan!
Mie nimerudi sipiti tena jaman!!!

We sasa subiri kusutwa ! Mie nimekatazwa kupita na " Uzi owner" sema tu nimepotea sijui hapa niko wapi ? Canta ! Hapa si ndiyo njia ya kwenda Magwepande au ?
 
nionyee hawa wanao harib topic yangu na kupotosha maana..
Otait,
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO!!
Kwa mamlaka niliyopewa na mtoa mada anawaonya wote mnaochakachua sred yake muache mara moja na muwe wastarabu kwa kuacha kuchakachua na kupotosha maana.

Swaiba nimetimiza ombi lako!!!
 
Otait,
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO!!
Kwa mamlaka niliyopewa na mtoa mada anawaonya wote mnaochakachua sred yake muache mara moja na muwe wastarabu kwa kuacha kuchakachua na kupotosha maana.

Swaiba nimetimiza ombi lako!!!


Ahsante sana CANTALISIA... ni PM ur M.pesa acc No. Nikurushie hela ya vocha.
 
Ahsante sana CANTALISIA... ni PM ur M.pesa acc No. Nikurushie hela ya vocha.
Hahahah hahaha,
Ujue niliposoma hii post ikabidi niangalie ni jukwaa gani nilipokuta chit chat lol!
BTW nishaku PM.
 
mimi inayonikera sana na tena sana ni hii "umeona eehh" jeeeez inakera kupita kiasi aisee. Utakuta mtu mzima anaandika hivyo ktk kile kitu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom