Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,172
- 15,725
Yaani huyo alofunga hiko ki-Vespa alikuwa na uwezo wa kufanya ubinadamu tu kwa kukisogeza pembeni ktk sehemu inayoruhusiwa na kuendelea na shughuli nyengine but kwa7bu ana njaa kazi yakufanya hana ndo kafanya haya ili japo aambulie rushwa ya Tsh5,000/=
Hatari sana.