Ni kweli hao jamaa wanajiona wapo juu ya sheria ,msela amefanya safi kumfunza adanu.Sheria traffic haruhusiwi kuchomoa funguo wala kuchukua leseni
Kama leseni unamuonesha tu,matrafik wengi sheria hawazijuwi
Sema jamaa atageuziwa kibao kwa kumpiga traffic hapo ndiyo kazi
Ova
Walisema yuko hospital sasa wanasema wanamshikilia.. Tumuombee SanaNi kweli hao jamaa wanajiona wapo juu ya sheria ,msela amefanya safi kumfunza adanu.
Na Press ya J4 Muliro ni ya Uongo Uongo ,ndiyo maana mtu anayeamini taarifa za polisi ana matatizo ya akili ,Muliro anasema eti trafik alimuelekeza jamaa asipite service road ndipo akshuka kwenye gari akaanza kumpiga trafik baadae eti raia nao wakaanza kumshambulia jamaa aliyekuwa anampiga traifki yaani MULIRO muongo muongo ,watu wameliona tukio kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Trafiki kamyang'anya funguo jamaa ndipo alipochezea kichapo ,alikuja kuokolewa na JWZT ,sehemu ya Lugalo hao wananchi watoke wapi waliokuja kumpiga jamaa? Muliro analeta uongo ili wanaanchi waogope kuwachezeshea kichapo wasio fuata PGO ,hakuna raia yeyote atakeyemtetea polisi anayechezea kichapo.
Ila mjini hapa watu wamepagawa inabidi kuwa makini sana.
Nshomile Kayoza amewaheshimisha watu wa NYAISHOZI/KATEREROWalisema yuko hospital sasa wanasema wanamshikilia.. Tumuombee SanaView attachment 3666033
Wewe jamaa😁Kakutana na psychiatric dr alaf bingwa leo na yeye vimempanda mamaey
Ndugu zake wawe makini na WAHUNI ,hawakawihi kusema mtuhumiwa AMEJINYONGA AKIWA SELO.Walisema yuko hospital sasa wanasema wanamshikilia.. Tumuombee SanaView attachment 3666033
Huyo mhaya huyo hata hicho kichwa kilivyochongoka na jina
Raia aliyempiga Askari ni Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila.huyo jamaa ni DOKITA nimeona katundika koti la udokit kwenye kiti Cha dereva,trafiki angemuacha dokita akahudumie wagonjwa masikini, and agonjwa wenyewe Hawa hawana pesa hata za chakula wakati mwingine dokita analazimika kutoa pesa yake mfukoni amsaidie mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia..hata kigari Cha dokita TU SI umekiona.
Hapa kuna ukweli. Askari wa siku hizi hawana weledi wala common Sense. Ni kama wahuni tu wa mtaani. Kuna uwezekano mkubwa huyu askari alimtolea maneno ya kashfa huyu jamaa.Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!
Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .
Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!
Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia
Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!
BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNIView attachment 3666060
KAMA AMBULANCE INARUHUSIWA KUPITA SERVICE ROAD HALAFU GARI YA DAKTARI INAZUIWA DOES IT MAKE SENSE?
KAMA GARI ZA WANASIASA ZINARUHUSIWA HOW COMES YA DAKTARI ISIRUHUSIWE,KATI YA MWANASIASA NA DAKTARI NI YUPI ANAWAHI DHARURA YA KWELI?