Hii ya kutaifisha korosho Imekaaje??

Hii ya kutaifisha korosho Imekaaje??

Mawazo ya kimaskini haya, unamsifia mtu dhulumati ?? Jibu hoja
Hapa sio uwanja wa marumbano au bungeni .wafanyabiashara wakibongo kuna ujinga waliufanya kwa makusudi msimu uliopita waliuza korosho zilizochanganywa na mawe huko vietnam unakumbuka mjomba ili ni kashifa kwa serikali na lingine serikali waliwaambia wafanyabiashara kwamba korosho ya msimu huu itapandishwa bei wafanyabiashara wakasusa .umeyaonaje hayo acha serikali wafanye yao wajierewa nini wanafanya
 
Naona akina kangomba mnaisoma namba , mlizoea kuwazulumu na kuwadanganya wakulima sasa mwaka huu imekula shamba!!! onyesha shamba meeen
 
Mwanangu we acha tu.
Jenga picha maza wako kalima vikorosho vyake then anakuja mtu analeta siasa. Kule kijijini miezi kama hii hawawezi kukuomba fedha ya unga but mambo yamekuwa kisengelenyuma
Umeshashiba chips yai na maji yako ya uhai safii bro umeamuwa nawe kufunguka .
 
hivi mkuu huwa unajua utaratibu unaotumika hadi unaona wakulima wana vuna a hayo mazao?subilia mwaka kesho utaona mavuno yatakavyo shuka!!tunao jua jinsimkilimo cha tanzania kinafanyika tuna kushangaa sana!!
Hamna jambo kama ilo mjomba mambo yatakuwa mzuri tu kwa wakulima serikali ina dili na wafanyabiashara makajanja ambao waliwauzia waveitnam korosho zilizo changanywa na mawe
 
Mwanangu we acha tu.
Jenga picha maza wako kalima vikorosho vyake then anakuja mtu analeta siasa. Kule kijijini miezi kama hii hawawezi kukuomba fedha ya unga but mambo yamekuwa kisengelenyuma
Achana na story za kwenye mitandao na kwenye magazeti serikali haitaki mkulima hapate hasara serikali ina dili na wafanyabiashara makajanja
 
Hapa sio uwanja wa marumbano au bungeni .wafanyabiashara wakibongo kuna ujinga waliufanya kwa makusudi msimu uliopita waliuza korosho zilizochanganywa na mawe huko vietnam unakumbuka mjomba ili ni kashifa kwa serikali na lingine serikali waliwaambia wafanyabiashara kwamba korosho ya msimu huu itapandishwa bei wafanyabiashara wakasusa .umeyaonaje hayo acha serikali wafanye yao wajierewa nini wanafanya
Nimekupata vizuuri. Yetu macho
 
Ni kweli kuna baadhi ya watu account zao zmeshikiliwa mpaka watakopohakiki sehemu unayolima.Napozungumza wengine wameshakimbia kusini,unakuta kuna mtu amezalisha tani 30(abnormal)hivyo lazima wajue huyu mkulima anapatikana wapi ili kama unazalisha wakupongeze na kama umenunua wakufilisi.Kumbuka kuna wengine wamechukua mikopo na kuanza kununua,serikali inajua ikiwaachia wafanyabiashara hakuna mkulima atakayepeleka mzigo ghalani.Malipo yote yatakuwa kwa watu wa kangomba,ukiwa na mtaji kusini unatajirika kumbuka zaidi ya bil 700 zitalipwa hivyo watakaozilamba kutoka kwa wakulima ni wenye maduka ya Nguo,Ujenzi,chakula etc Ila wakulima wote watapata pesa kwani utaratibu wa ulipaji umebadilika hivyo subira muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Tena kuna jamaa yangu katoka huko nilikuwa naongea leo,anasema ukionyesha shamba wanakudai na documents za umiliki wa hilo shamba, wakati kule mashamba mengi ni urithi hzo documents watatoa wapi?
 
Sisi tuna mashamba ya mikorosho hekari kama mia hivi huko Lindi. Nikiwapigia simu madingi wananiambia hata mia hawajalipwa. Halafu mwehu mmoja anatangaza kalipa tayari
Hii serikali ya wanyonge.
 
Tena kuna jamaa yangu katoka huko nilikuwa naongea leo,anasema ukionyesha shamba wanakudai na documents za umiliki wa hilo shamba, wakati kule mashamba mengi ni urithi hzo documents watatoa wapi?
Lazima wajiridhishe kama kweli ni lako kwa namna moja au nyingne
 
Sisi tuna mashamba ya mikorosho hekari kama mia hivi huko Lindi. Nikiwapigia simu madingi wananiambia hata mia hawajalipwa. Halafu mwehu mmoja anatangaza kalipa tayari
Yeye lazima aseme ameshalipa kama hela ameshasain itoke...lakini ujue hadi kufikia mkulima ni process mzee hela serikali lazima ionekane kila inapopita
 
Hili jambo halihitaji nguvu kulimaliza, la msingi wawe wanawapa wakulima ela mapema, pembejeo na kadhalika ebu lakini wakichelewa lazima mtu akakope au akauze kwa style hiyo. Mambo haya hayahitaji nguvu sana kuya solve kimfaacho mtu chake mtu hawezi kaa na korosho ndani mkewe anaumwa na asiuze hata kwa hasara. Lakini kama serikali ingekuwa inawaletea ela mapema nani auze kwa hasara
Hizi korosho zina umafia ndani yake eti mkulima kwa iyali achangie sh3/kg x210,000,000kg=milioni 630 yeye hana hata turubai yakufunikia korosho?na viongozi wapo kuna nini hapo???
 
kisheria huyo mfanyabiashara au hao wafanyaboashara wa mbarali hawaruhusiwi kukopesha hela. Ni kosa kisheria kukopesha kwa riba.
 
Back
Top Bottom