na utegemee mwakani uzalishaji kupungua kwa kasi ya ajabu. mkulima hana uwezo wa kuhudumia shamba kubwa kwa ufanisi, na hana uwezo wa kutunza cash zake kwa kipindi cha mwaka mzima, hivyo ni muhimu kushirikiana na wadau. kuna kipindi mtoto anatakiwa kwenda shule tuchulie baada ya kumaliza likizo ya mwezi June, Mzazi hana hela ya kumsafirisha wala ya vitu muhimu vya shule, ni lazima mfanyabiashara akoe jahazi. Leo hii mnawagombanisha tena wananchi kwa wananchi, sio Poa. watakaopata shida ni hao wakulima.