mlingoti west
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 252
- 195
Sukari haikupaswa kuwa issue ya kutusumbua kwa kuwa Ali Hassan Mwinyi alitatua mwaka 1985 alipoingia madarakani. Huu UPUMBAVU imaletwa na UKAIDI wa Magufuli. Wenzie walitengeneza nchi yeye ANAHARIBU. Halafu mijitu mijinga inamshangilia eti anapinga ufisadi.Hii awamu imefeli kwenye masuala mengi ikiwemo hili la sukari.
Tutaendelea kumkosoa mpaka KIELEWEKE. Kwani hiyo Ibara 33 imesema yuko juu ya KATIBA? Kwa nini anavunja Katiba aliyoapa kuilindaKasome ibara ya 33 ya katiba ya JMT, rais ni mkuu wa nchi. Hata kama unamkosoa tumia lugha ya staha. Haijalishi wewe unavyofikiria.
Hujazuiwa kukosoa. Kosoa kwa lugha ya kistaraabu. Sio kumuita kibwengo na kumtukana kisa una chuki binafsi.Tutaendelea kumkosoa mpaka KIELEWEKE. Kwani hiyo Ibara 33 imesema yuko juu ya KATIBA? Kwa nini anavunja Katiba aliyoapa kuilinda
Kitaelewaka wapi maana anachapa kazi tu. Wachache wenye chuki ndio mnamtukana bila sababu.Tutaendelea kumkosoa mpaka KIELEWEKE. Kwani hiyo Ibara 33 imesema yuko juu ya KATIBA? Kwa nini anavunja Katiba aliyoapa kuilinda
Mbona mwenyewe alijiita Kichaa mwaka 2017 alipokuwa anamsifia Waziri Luhaga Mpina kwa kuwabana wavuvi na nyavu zao akiwa ziara ya Mkoa wa Mara. Nakushangaa wewe unamtetea kuitwa kibwengo. Kwani kati ya kibwengo na kichaaa ipi ina afadhaliHujazuiwa kukosoa. Kosoa kwa lugha ya kistaraabu. Sio kumuita kibwengo na kumtukana kisa una chuki binafsi.
Kujficha Chato ndiyo kuchapa kazi? Kubalini tu kazi IMEMSHINDAKitaelewaka wapi maana anachapa kazi tu. Wachache wenye chuki ndio mnamtukana bila sababu.
Hakumaanisha kuwa mtu asiye na akili timamu. Bali kiongozi lazima uwe na maamuzi magumu ambayo hayaangalii sura ya mtu. Wewe unamtukana sana mara muuaji mara Mtusi kutoka Rwanda jambao sio zuri. Basi onyesha ushujaa kama Mdude. Na katiba ya nchi ameivunja wapi?Mbona mwenyewe alijiita Kichaa mwaka 2017 alipokuwa anamsifia Waziri Luhaga Mpina kwa kuwabana wavuvi na nyavu zao akiwa ziara ya Mkoa wa Mara. Nakushangaa wewe unamtetea kuitwa kibwengo. Kwani kati ya kibwengo na kichaaa ipi ina afadhali
Hiyo ni tafsiri yako peke yako. Sisi tunafuata tulichokisikia. Na usinitishe hii siyo nchi yenu peke yenu kwa sababu leo mnamiliki silaha za kuua msiyempenda. Mtatoka tu siku ikifika na wewe utabadili ID yako tu.Hakumaanisha kuwa mtu asiye na akili timamu. Bali kiongozi lazima uwe na maamuzi magumu ambayo hayaangalii sura ya mtu. Wewe unamtukana sana mara muuaji mara Mtusi kutoka Rwanda jambao sio zuri. Basi onyesha ushujaa kama Mdude. Na katiba ya nchi ameivunja wapi?
Mh yamekuwa hayo tena? 🏃♂️ 🏃♂️Hiyo ni tafsiri yako peke yako. Sisi tunafuata tulichokisikia. Na usinitishe hii siyo nchi yenu peke yenu kwa sababu leo mnamiliki silaha za kuua msiyempenda. Mtatoka tu siku ikifika na wewe utabadili ID yako tu.
Nashangaa kweli kweli. Mara serikali inasema soko la suka ri ni huria, mara tena wanahangaika kupanga bei!Kwani siku hizi malawi haizalishi sukari kama zamani?kama tatizo ni kufungwa kwa mipaka basi wao walete mpaka mpakani waweke kisha madereva wa bongo wapokelee mpakani tatizo liko wapi kwanini kukimbizana na bei elekezi wakati unaweza kushusha automatic kwa kuongeza supply
Tatizo lako wewe ni chuki. Sukari limekuwa ni tatizo la muda mrefu wala sio kwenye utawa wa JPM tu. Umesahau kwa nini Marehemu Iddi Simba alijiuzuru sababu ya nini?
Kwa ufupi awamu zote kumekuwa na tatizo ambalo linatakiwa kushughulikiwa. Alafu unafanya makosa kumuita mkuu wa nchi kibwengo. Acha lugha za kipuuzi.
Sisi kama taifa hatukuwa na sababu ya kufika huku. By far tuna potential ya kuwa the leading sugar producers in East Africa, shida ni mifumo yetu wenyewe. Kwa nini tuwe na viwanda vinne tu vya sukari tangu uhuru? Tumeshindwa kufanya lobbying kwa Illovo group (Wafaransa) wakajenga kiwanda kingine kikubwa cha sukari tofauti na vilivyopo?Nimemwona Mkuu wa wilaya ya Igunga mh Mwaipopo kupitia Star tv akiwa na lundo la askari polisi waliochanganyika na JW pamoja na migambo wakisaka walanguzi wa sukari mitaani.
Ukiiulizwa utaje kwa majina idadai ya waliouliwa, unaweza kuwataja?Hiyo ni tafsiri yako peke yako. Sisi tunafuata tulichokisikia. Na usinitishe hii siyo nchi yenu peke yenu kwa sababu leo mnamiliki silaha za kuua msiyempenda. Mtatoka tu siku ikifika na wewe utabadili ID yako tu.
NdiyoUkiiulizwa utaje kwa majina idadai ya waliouliwa, unaweza kuwataja?
Taja kama watatu.Ndiyo