Hii ya DC wa Igunga kuwasaka walanguzi wa sukari mitaani akiwa na migambo imenikumbusha vita vya Kagera

Hii awamu imefeli kwenye masuala mengi ikiwemo hili la sukari.
Sukari haikupaswa kuwa issue ya kutusumbua kwa kuwa Ali Hassan Mwinyi alitatua mwaka 1985 alipoingia madarakani. Huu UPUMBAVU imaletwa na UKAIDI wa Magufuli. Wenzie walitengeneza nchi yeye ANAHARIBU. Halafu mijitu mijinga inamshangilia eti anapinga ufisadi.
 
Kasome ibara ya 33 ya katiba ya JMT, rais ni mkuu wa nchi. Hata kama unamkosoa tumia lugha ya staha. Haijalishi wewe unavyofikiria.
Tutaendelea kumkosoa mpaka KIELEWEKE. Kwani hiyo Ibara 33 imesema yuko juu ya KATIBA? Kwa nini anavunja Katiba aliyoapa kuilinda
 
Tutaendelea kumkosoa mpaka KIELEWEKE. Kwani hiyo Ibara 33 imesema yuko juu ya KATIBA? Kwa nini anavunja Katiba aliyoapa kuilinda
Hujazuiwa kukosoa. Kosoa kwa lugha ya kistaraabu. Sio kumuita kibwengo na kumtukana kisa una chuki binafsi.
 
Hujazuiwa kukosoa. Kosoa kwa lugha ya kistaraabu. Sio kumuita kibwengo na kumtukana kisa una chuki binafsi.
Mbona mwenyewe alijiita Kichaa mwaka 2017 alipokuwa anamsifia Waziri Luhaga Mpina kwa kuwabana wavuvi na nyavu zao akiwa ziara ya Mkoa wa Mara. Nakushangaa wewe unamtetea kuitwa kibwengo. Kwani kati ya kibwengo na kichaaa ipi ina afadhali
 
Hakumaanisha kuwa mtu asiye na akili timamu. Bali kiongozi lazima uwe na maamuzi magumu ambayo hayaangalii sura ya mtu. Wewe unamtukana sana mara muuaji mara Mtusi kutoka Rwanda jambao sio zuri. Basi onyesha ushujaa kama Mdude. Na katiba ya nchi ameivunja wapi?
 
Hiyo ni tafsiri yako peke yako. Sisi tunafuata tulichokisikia. Na usinitishe hii siyo nchi yenu peke yenu kwa sababu leo mnamiliki silaha za kuua msiyempenda. Mtatoka tu siku ikifika na wewe utabadili ID yako tu.
 
Mh yamekuwa hayo tena? 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Kwani siku hizi malawi haizalishi sukari kama zamani?kama tatizo ni kufungwa kwa mipaka basi wao walete mpaka mpakani waweke kisha madereva wa bongo wapokelee mpakani tatizo liko wapi kwanini kukimbizana na bei elekezi wakati unaweza kushusha automatic kwa kuongeza supply
Nashangaa kweli kweli. Mara serikali inasema soko la suka ri ni huria, mara tena wanahangaika kupanga bei!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linalotengenezwa kwa ajili ya manufaa ya wachache.
Tatizo lako wewe ni chuki. Sukari limekuwa ni tatizo la muda mrefu wala sio kwenye utawa wa JPM tu. Umesahau kwa nini Marehemu Iddi Simba alijiuzuru sababu ya nini?

Kwa ufupi awamu zote kumekuwa na tatizo ambalo linatakiwa kushughulikiwa. Alafu unafanya makosa kumuita mkuu wa nchi kibwengo. Acha lugha za kipuuzi.
 
Tatizo ni nchi kuwa vitani lakini jemedari yuko mafichoni anasubiri kuletewa taarifa nakumbuka wakati wa vita vya IddiAmin Nyerere alikuwa mstari wambele lakini uyu jiwe kajificha.Hali ya sukari nimbaya sana bei inatimka kwa speed ya 5G.

Wamebaki wapiga zumari wanakimbizana na wachuuzi lakini masupplier hakuna anaewagusa,"eti Rais wawanyonge''!
Awamu hii wote majizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemwona Mkuu wa wilaya ya Igunga mh Mwaipopo kupitia Star tv akiwa na lundo la askari polisi waliochanganyika na JW pamoja na migambo wakisaka walanguzi wa sukari mitaani.
Sisi kama taifa hatukuwa na sababu ya kufika huku. By far tuna potential ya kuwa the leading sugar producers in East Africa, shida ni mifumo yetu wenyewe. Kwa nini tuwe na viwanda vinne tu vya sukari tangu uhuru? Tumeshindwa kufanya lobbying kwa Illovo group (Wafaransa) wakajenga kiwanda kingine kikubwa cha sukari tofauti na vilivyopo?

Au, tumeshindwa kufanya PPP na Illovo tukazalisha sukari kwa pamoja ? Kwa staili hii nina hakika hata nje ya nchi wanatushangaa
 
Kwa wauzaji wadogo ni tatizo, wauzaji wa jumla wanawapandishia Bei. Nao akili ndogo, acha serikali iuze sukari. Jeshi badala ya kudhibiti mipaka ya nchi kuzuia waingiza corona na Ebola wanarushwa kichura na mitaani na ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni tafsiri yako peke yako. Sisi tunafuata tulichokisikia. Na usinitishe hii siyo nchi yenu peke yenu kwa sababu leo mnamiliki silaha za kuua msiyempenda. Mtatoka tu siku ikifika na wewe utabadili ID yako tu.
Ukiiulizwa utaje kwa majina idadai ya waliouliwa, unaweza kuwataja?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom