wete
Member
- Nov 16, 2012
- 93
- 61
Najaribu kulogin inanikatalia hawa jamaa wanapita madukan wanasema service levy ni kila baada ya miezi 3, yan jinsi unavotoa risiti wanapiga hayo mauzo yako ya miezi 3 mara 0.03 inakuja pesa ndogo sana ila hawa jamaa hawaelewi wanapiga mara 3 yan miezi mi3, kwa hyo kwa sisi wafanya biashara elimu kuhusu service levy inahitaka