Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Yaani imekuwaje wakabadilishana makazi?
Sasa ni zamu ya simba kuwapelekea jamaa chakula tena ni "wali maharage". Sijui nani atapika.
Haikuhuuuu
Ishia zako kule! Kwani wewe ndio simba?
Nadhani ni katika "mpango maalum"
life is Short achana nae huyo Bujibuji hana u-simba wowote! Mie naongea na simba yeye anarukia maneno!Woow nimecheka Bujibuji the guy yuko kuliko simba !! eti mkuu
mmmh ivyo Wee mchokozi kweli, unachekelea simba anavyopandisha hasira !! halafu unamgandishia Oh hah ha ha..life is Short achana nae huyo Bujibuji hana u-simba wowote! Mie naongea na simba yeye anarukia maneno!
Ashumu wamefanikiwa kutoboa..!!!