Hii tabia ya wizi baada ya misiba kuisha

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,329
Reaction score
4,870
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.

Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.

Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.

Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.

LAANA SUMAKA KABISA
 
Pole Sana .

Wanawake wanakuaga na tamaa hasa akiona vitu vinavyobebeka lazima Aibe .

Haijalishi wafiwa wataishije
 
Sio msibani pekee,sehemu yeyote yenye mkusanyiko,sherehe nk.wanaiba
 
indeed mkuu kweny msiba mmoja wakikristo si kuna movement za kuingia vyumbani sasa kuna wamama waliiba cheni na pete za dhahabu ambazo zilikua zinamilikiwa na marehemu pamoja na vitenge
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.

Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.

Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.

Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.

LAANA SUMAKA KABISA
Kwani we mgeni hapa duniani
 
Back
Top Bottom