Hii tabia ya wavulana ikome

Hii tabia ya wavulana ikome

kwani wakati mwanaume ana-shoot hiyo video mwanamke anakua kazimia? ndo wakome kugongwa ovyo! wengi wanaofanyiwa hivyo ni malaya tu kama wale wanaojiuza.

Ndugu siyo kweli,sio wote wanaorekodiwa hizo video ni malaya kama unavyosema.Hata kama ni malaya kwanini umdhalilishe?mwanamke akikubali kulala na wewe ni malaya?kwani yeye si binadamu mwenye kuhisi kufanya mapenzi?hii si tabia nzuri hata kidogo.
 
ila nadhani wengine wanatoa consent, si unajua mapenzi niondoe ufahamu!!

wengine wanakubali kutokana na shinikizo au vitisho kutoka kwa wenza wao.katika hali ya kawaida mtu hawezi kukubali apigwe picha za uchi halafu kesho akadhalilike.
 
Ni kweli ila nijukumu la mwanamke kuhakikisha kuwa jambo hili hafanyiwi na jidume lake
 
kuna ule mtindo wa kurekodi kwa kutumia pc, unakuta jamaa kakuwekea muvi ya xxx demu anafuata zile style bila kujua webcam iko on utamu wote unarekodiwa!

kwa kweli inaumiza sana,yani mwanamke amekubali kulala na wewe faragha halafu unamfanyia unyama huo.......hataa walaaniwe wenye tabia hizi.
 
Hii tabia ya kijinga sana yani nikikugundua unanichukua video nakuvunja mkono na simu navunja
 
kuna ule mtindo wa kurekodi kwa kutumia pc, unakuta jamaa kakuwekea muvi ya xxx demu anafuata zile style bila kujua webcam iko on utamu wote unarekodiwa!

kwanza tendo ni kufanyika usiku ukifika all electrionic off iwe taa , simu na vinginevyo .
 
ndugu yangu hapo nimedeal na wote,hao watu wazima mimi nimewaweka kundi kundi moja na wavula kwani akili zao zinafanana.Anayefanya mambo ya kitoto basi na yeye ni mtoto

Kuna wa2 wazima wengine ovyooo ndo wanaongoza kwa mambo ya kijinga,unakuta ye ndo wa kwanza kufunguka na kukuonyesha hizo picha tena unakuta katumia pisa nyingi ili ampige picha za utupu kisa kuonyesha vijana wadogo mana nimeshas shuhudia tukio la namna hiyo.....
 
Nafikir hoja ya msingi na yenye mashiko hata kwa mtoto mdogo ni hapo uliposema hao dada na mama zako wasikubali kupigwa hizo picha,maana kusema sijui siku mama ako katoka na mchepuko wake akapiga picha au dada ako kapigwa picha hapo utakuwa umetoka nje kabisa ya mada yako kuwa watu wajiheshim nikiwa na maana mada yako imekaa katika hali yakuwa watu wajiheshimu,sasa kama mama ako anachepuka kwa nn asipigwe picha ili baba ako ajue na awe na ushahidi??kama dada ako hajiheshimu na anakubali kupigwa picha kwa nn asipigwe ili asaidiwe kutangazwa??kwa hiyo ndio kusema ukitaka kuondoa kabisa tatizo anzia kwenye mizizi siyo matunda yake(Matokeo).
 
Kuna wa2 wazima wengine ovyooo ndo wanaongoza kwa mambo ya kijinga,unakuta ye ndo wa kwanza kufunguka na kukuonyesha hizo picha tena unakuta katumia pisa nyingi ili ampige picha za utupu kisa kuonyesha vijana wadogo mana nimeshas shuhudia tukio la namna hiyo.....

watu wazima tuliotegemea wawe ndio mfano mzuri na wa kuigwa alkini imekuwa tofauti wmekuwa watu wa hovyo kabisa na hata hawafai kuipigiwa mfano.
 
Hii ni tabia ya pande zote wala haina upande mmoja na inategemea na upeo wa mtu katika kufikiri,kuna mwanamke alimrekodi jamaa yangu ambaye walikutana kwa usiku mmoja tu(one night stand)kumbe mwanamke kategesha kamera sehemu,kesho yake anashangaa kutumiwa clip ya kile alichokuwa akikifanya na kuambiwa atoe pesa la sivyo itawekwa hadharani kwenye youtube,ilibidi jamaa aende Polisi na mpaka suala lile linaisha jamaa yangu kaisha mifukoni.
 
Na ifikie wakati kina dada/ mama wawe na msimamo ,,,,,,,, ukihisi kurekodiwa katisha utamu vunja simu au futa hiyo video immediately

chukulia mfano anashtukia wakati kipele kimeguswa vizuri..ataweza hili kweli???
 
Mkuu Nakapanya watu wengi sana siku hizi hawana akili timamu hasa wanawake ndiyo maana yote haya yanatokea. chukua like yangu kwa post nzuri. udhalilishaji ni udhalilishaji tu hata kama wewe si mwathirika wa huo udhalilishaji.
 
Tatizo kwetu haya majanga yamevamia bila elimu...ulaya kila kitu kinafanyiwa research na kutolewa elomu ya kutosha hasa so kikiingia mtaani kila mtu anajua matumizi yake ipasavyo...
Sisi tumezivamia sim hatuna kazi nazo sasa zinafanya ujinga huo...na nyie madada hivi mpk mtu anakuchukua ktk sim haujui au ndio mahaba niue!!!
Upuuzi kabisa....
 
Back
Top Bottom