Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Na ifikie wakati kina dada/ mama wawe na msimamo ,,,,,,,, ukihisi kurekodiwa katisha utamu vunja simu au futa hiyo video immediately
Hiyo ya kuvunja simu ndo imekaa poa zaidi
Na ifikie wakati kina dada/ mama wawe na msimamo ,,,,,,,, ukihisi kurekodiwa katisha utamu vunja simu au futa hiyo video immediately
Umevunja simu lkn memory card umeacha sa si utakua umeluka mkojo na kukanyaga kinyesi mama.......
Kama kichwa wazi anaona kwenye giza ndiyo hzo elecronics
unagundua jamaa anakurekodi muda huo tayari ashakukojolea kama vitatu na umekunjwa kwa mikato yote kitu nyapinyapi!
Mkuu Nakapanya watu wengi sana siku hizi hawana akili timamu hasa wanawake ndiyo maana yote haya yanatokea. chukua like yangu kwa post nzuri. udhalilishaji ni udhalilishaji tu hata kama wewe si mwathirika wa huo udhalilishaji.
mh mwanaume kufirwa na mwanamke haijawahi kutokea itakuwa ya kwanza kutokea katika historia. ni mtazamo tunitahakikisha anafirwaaaa
..duh!!! we kijana wa zamani, wa leo hawajui k.u.d.i.n.y.a.wadada nao wenyewe wanapenda, siku hizi mapenzi ya vijana hayana utamu, utamu wote upo kwenye pesa, kudinyana miaka ile unadinya huku unafumba macho kwa utamu, hutamani hata kushika glass, siku hizi mtu anadinya huku anatuma meseji, anarekodi, anaimba, anacheka.
mh mwanaume kufirwa na mwanamke haijawahi kutokea itakuwa ya kwanza kutokea katika historia. ni mtazamo tu
Mapenzi ni starehe bwana,mapenzi kupeana raha.
Siku hizi imezuka tabia ya mijitu hasa wavulana ( ndio nawaita wavulana kwani akili zao ni za kitoto hata kama ni wanaume),unakuta jitu linaacha kufanya kile kinachotakiwa kufanywa (mapenzi/sex) jitu linakazana kurekodi tendo lile kwenye visimu vyao,mbaya zaidi yeye hajichukui sura ila binti wa watu ndio full kuonekana.
Najiuliza hivi wewe una akili gani mpaka kuacha kufanya yanayofaa kufanywa na kuanza kumrekodi mwenzako ili tu kesho ukamdhalilishe kwa wenzako?hivi unawezaje kwanza kuchukua hiyo video au picha katikati ya tendo ilihali nijuavyo mimi katika tendo lile mtu hutamani hata macho yaangalie kwengine?au ndio unakuwa umeenda pale tu ili ukamdhalilishe mwenzio?
Juzi nilikuwa kijiwe kimoja nikakuta watu wanaonyeshana video za ngono,anayewaonyesha wenzake ndiye aliyepiga hiyo video.yule binti yule wa pale naniii..(sitaji eneo) ndio huyu bwana,jana nimemgonga na video angalieni hii hapa na wenzake wanamshangilia eti we jamaa mkali balaa.
Tabia hii siipendi na inadhalilisha sana dada zetu(sisi wengine tuna dada wengi tu).Hebu fikiria siku moja ndio unakutana na video ya dada yako ndio amefanyiwa hivyo utajisikiaje?au ghafla unakutana na video ya mama yako mzazi alikuwa na michepuko huko wakamchukua video utajisikiaje?
Vile ambavyo utajisikia ndio vile ambavyo mwenzio uliyemfanyia hivyo pamoja na ndugu zake wanavyojisikia.
Achezi tabia hii kwani ni ya kishenzi na ya kidhalilishaji kabisa.kama unaona huwezi kufanya mapenzi bila kurekodi basi acha.
Nyinyi DADA zetu mkiona mpo faragha na jitu linatka likupige picha au video usikubali,vaa nguo zako tembea tena iwe ndio mwisho wa mahusiano yenu,maana huyo hana nia nzuri,anakupiga picha au video ili kesho akakudhalilishe,na mnadhalilika kweli nyie hamjui tu.Video zenu za utupu watu wnaonyeshana vijiweni au hata whatsapp.Wewe ukipita mitaani unaona kama upo sawa tu kumbe watu wankuchora tuu ndio si wameisha kujua kila kitu kuanzia ndani mpaka nje.
Kwa waungwana hii tabia hatuifanyi hata kidogo,naomba na wewe unayependa tabia hii tafadhali badilika maana vinginevyo utakuwa kwenye kundi la washenzi na wapumbavu tu.
kuna suala la picha za mnato ambazo wadada wengi hupenda sana kujipiga na kutuma kwa wanaume kwa kuamini ndo anamsisimua hajui kama ikifika huko itazunguka kwa watu wangapi ... mambo ya kujirekodi pia baadhi ya wadada wanaona fahari hata kuamini wanapenda kumbe kudhalilishwa tu ... ifikie mahali wajitambue thaman yao .. na pia wanaume unapomuonyesha mtu ulichorekodi wakati wa tendo ni ulimbukeni
wanaume wengine hupenda akupige au achukue video ukiwa uchi hii kitu ndo huwa napinga siku zote na siwezi ruhusu huu upuzi..wee kaa niangaliee weeee mpaka uchoke nigegede wee mpaka uridhike nigeuze utakavo mpaka hamu iishe but ukishika simu tu nakua mkali kama mbogo
Hata hivyo,hotel nyingi na zile lodge kalikali hapa mjini,wamefunga camera maalumu za kurecord matukio yote yanayofanyika chumbani. Na baadae baadhi zinatengenezwa DVD na kuuzwa mitaani. Hapa suluhisho ni kuachana na umalaya ili kuepuka fedheha! Ukijiachia ipo siku utanunua CD yako.Na ifikie wakati kina dada/ mama wawe na msimamo ,,,,,,,, ukihisi kurekodiwa katisha utamu vunja simu au futa hiyo video immediately
Hahahaha ni kweli lkn siamin kama picha hizo zinaongeza chachu ya penzi au kuhamasisha
Na haya mambo yanayokea kwenye kizazi kama hiki ambacjo hakina malezi yaani kiko kama kondoo tuJitu linamrekodi mwenzake sijui kwa faida ya nani?Huu wehu sijui mwisho wake lini!hizi simu za kisasa zimeleta mambo acha kabisa